Andika kwa maneno ya kiswahili namba hizi 10,0001 na 11,000..

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
Samahani,naomba mtu aniandikie kwa maneno ya kiswahili namba izi mbili 10,001 na 11,000.Wengine kidogo lugha zetu za asali zimetualibu kiswahili kinapiga chenga.
 
Moja sifuri,sifuri sifuri moja na mojamoja ,sifuri sifuri sifuri.......nimepataaaaaaaaaaaaaaaaa
 
10,001_ kumi elfu na moja ,11,000 _elfu kumi na moja elfu. umakini wa jinsi ya kuitamka ndio itasumbua watu.
 
Samahani,naomba mtu
aniandikie kwa maneno ya kiswahili namba izi mbili 10,001 na
11,000.Wengine kidogo lugha zetu za asali zimetualibu kiswahili
kinapiga chenga.

kwa maneno ya kiswahli labda nazungumzia vijiko nitasema.
vijiko elfu kumi na kimoja
vijiko elfu kumi na moja
 
Zote ni elfu kumi na moja, ila kimaandishi unaandika hivi;
10,001 Elfu kumi, na moja
11,000 Elfu kumi na moja.
10,001 Pia ukisema kumi elfu na moja inakubalika.
 
Back
Top Bottom