kuna mtu kanionea pacha wangu snowball? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kuna mtu kanionea pacha wangu snowball?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by snowhite, Oct 14, 2012.

 1. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  mara ya mwisho tuliachana paleee kwenye mishkaki ya firigis
  mwenzenu pacha wangu jamani
  hata wifi yangu sakapal nae simuoni!
  eh jamani nisaidieni kuwatafuta Madame B hujamuona chuoni huko? Nyani Ngabu hata huko ughaibuni nako hawapo? Saint Ivuga kwani hata kwenye fiesta labda alikamwatwa kwa kuwa over aged? Mtambuzi kwani mara ya mwisho si aliniaga anakuja kwako kumuona mdogo wake toto tundu? Boflo hujamuona hata kwenye parlour yako wakifanyiana massage na my wee wangu ?si unajua ni newlyweds. Bishanga hujamuona akija kununua bhitoke jhamani? Preta kule mbezi beach labda hukupishana nae getini af ye akajificha asipigwe picha na Boflo ? Kaizer na we hujamuona hata kwenye viti virefu jamani,wer ist mien bro? FP mwenyee kaka avi koki?wahamba koki na mdala wake? Kaunga hata huko kwako kigoma hujamuona labda kafata migebuka!?
  nisaidieni mwenzenu!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,317
  Likes Received: 2,604
  Trophy Points: 280
  mi nimemuona jana jioni anasema anaenda kwenye kikao cha harusi...halafu kiti cha abiria kulikua na mwanamke mi nilijua ni wewe maana alisema ni dada yake
   
 3. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,738
  Trophy Points: 280
  Ana case najaribu kuipitia hapa nitawambia baada ya kuikamilisha nitawambia ni case gani. Ila yuko salama
   
 4. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  ah !jamni pacha wangu mwenzenu!mwenzenu kaniachiwa ziwa kwa mama yetu na kachukua urefu wa baba!please Watu 8 hizi ni taarifa kwa mujibu wa geshi re porisi au wale aliokuwa nao kwenye kikao cha harusi?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  hebu acha kuwaita ita wako busy kujaza dunia
   
 6. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #6
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  kwani ameshakonfesi kuwa ni yeye ndo aliongoza polisi jamii kwa ajili ya kutetea ndoa yake changa na my wee wangu sakapal ?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #7
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo mi nianze kabisa kununua baby wipes!au nichague jina kabisaaaaa!hebu we pendekeza jina shosti wangu BADILI TABIA
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #8
  Oct 14, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,317
  Likes Received: 2,604
  Trophy Points: 280
  Habari hizi ni kwa mujibu wa ruttashobolwa...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #9
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  na mi si ndo nashangaa,kwani mbona mi pacha wake sina habari!
  eti shemeji rutta vipi haya maneno yana ukweli jameni?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #10
  Oct 14, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  alikuja Mbezi beach akiwa na dada yake anaitwa hairball....walinikutwa kwenye swimming pool naogelea.....nilipopiga mbizi kuibuka sikuwaona....labda umuulize Boflo ndo alikuwa anaongea nao......
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #11
  Oct 14, 2012
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  mlongo wangu snowhite unaniangusha sasa. sasa kama pacha SnowBall kapotea na wifi sakapal kuna kilichoharibika?
  lindilayi tu bahapo yati ikiliwuka tu. Muyako ilya raha na mdala wake, lol!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #12
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  mh!sa si bora ungemwambia muogelee wote!sas huyo haiball mbona kweny ukoo wetu hatumjui?kwani alisema ni mwalimu?alikuwa mnene mnene hivi au?sasa my wee sakapal alikuwa wapi muda huo?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #13
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  nikosiwi chidogo kamwali wengo!ah haya
   
 14. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #14
  Oct 14, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  mmmhh!!...yaani mdogo wangu pacha wangu wa kuachiana ziwa snowhite usiwe na wasiwasi (ila nimejua kumbe unanipenda sana tena saaaaana)...japo sikukuaga lakini amini tu 'handsome boy' wenu niko salama...fanya mama ajue manake siunamjua na mipresha zake!!. Najua Preta alitaka kuniletea za kuleta huko kwao Mbezi..na hata watu8 japo nilimkaushia lakini naona kaamua kumwaga mtama kwenye bata wengi. Ni kweli yalinikuta makubwa pacha wangu snowhite ntakupa mpango mzima nikija pande zako.., hao kina Ruttashobolwa sio watu kabisa..hilo geshi la polishi!..lol! sakapal wangu wamenichukulia na mimi wamenipa mwaisha magumu..ila sio issue bana.. BADILI TABIA si bora hata ningekuwa naijaza dunia...lolest!..My dada FP nipo salama ila sema sijatulia..salimia familia!!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #15
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  :poa
  :poa:poa:biggrin::lol::A S 465::biggrin::biggrin::lol::A S 465::poaasavali!manake watu washasema sana huku oh ndo wewe ulikuwa unafanya kazi TRA ,mara oh we ndo uliongoza kikosi jamii,mara oh juzi usiku ulikuwa kwenye kikao cha harusi mpaka saa 7 kwa kweli mradi tu maneno yalikuwa mengi sana kuhusu kutokuonekana jamvini,kuna mtu akaniambia uko na thesis unatafuta sijui nini,basi mradi tu home ilikuwa sintofahamu!mama yetu presha juu hasa pale Preta aliposema eti ulivoenda mbezi beach ulikua na mdada anaitwa hairball mi ndo nikaona mh!hebu nitoe angalizo!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #16
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  Preta pacha wangu amekuja sasa,enhe endela ulivokuwa unasema,endelea sasaaaaa!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #17
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  dada FP kakake mlpngo wako yani pacha wangu SnowBall amerudi nahisi amenionea huruma nilivokuwa namtafuta!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #18
  Oct 14, 2012
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  afadhali pacha wake mlongo wangu umerudi, maana pacha wako snowhite alishapata presha. wifi hajambo? kaloweka nguo zote huwezi kutoka? lol!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #19
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  shem kwanza nataka kukuhoji kuhusiaana na kesi ya my pacha!inakuwaje uliamua kumtolea siri zake wazi wazi hiv?sasa amekam free like a molecule mbona utajibeba!
   
 20. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #20
  Oct 14, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  hehehehehe...usiwe na hofu my pacha snowhite naweka mambo sawa tu ntaibuka soon...lol ...hao waache waseme tu!
  Kuna vijimambo vimenibana tu mwaya..na imetokea bahati tu ile kuibuka nakutana na kigongo hiki..loset!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...