Kwa mara ya kwanza.

The Son

JF-Expert Member
Jul 30, 2012
459
58
Salaam.Leo nimekuja huku. Naomba kujuzwa kama nawezapata huduma ya Free Sms ya kujiunga katika mtandao wa AIRTEL mfano wa xtreme au tano ktk tiGO. Natoka MUHEZA,TA kwenda MORO na RAHALEO sasa nahitaji kujiunga na huduma hiyo ili niwajulishe na wengine kuhusu hii safari.
Asante.
 
mara ya mwisho kutumia line ya Airtel huduma ninayoifahamu ni hii "Tuma kwanza SMS kumi za kulipia then watakupatia sms nyingine free(sijui idadi)"
 
Uliza kwa wakala wa airtel alite karibu nawe mkuu labda watakupa ufafanuzi.
Safari njema mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom