jumapili hiyooooo....

jumapili hiyooooo....

Graca

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2011
Posts
471
Reaction score
152
hayaa tena wapendwa siku yetu ya kuwa na topic motomoto ndo hyo imefikawadau wote,mjiandae kwa mapoint kutakuwa na mada bab kubwa sana.

stay here, will be back in a couple of hours..

take care guys............................
 
Couple of hours?
Ndio itakuwa imefika Jumapili?
Must u alert us for the topic moto moto. Chitchat ni mahali pake.
 
jumapili wengi wetu tunakuwa busy na familia..... lete hiyo mada yako leo kabla ya saa kumi jioni....tukishaingia Pub au Club utatupata J3.....
 
hayaa tena wapendwa siku yetu ya kuwa na topic motomoto ndo hyo imefikawadau wote,mjiandae kwa mapoint kutakuwa na mada bab kubwa sana.

stay here, will be back in a couple of hours..

take care guys............................

Shoga nimejaa tele hapa.
Haya,twende kazi.
 
mbona mnaoshadadia wote ni wadada, am curious...
 
Back
Top Bottom