nina swali

nina swali

Blaine

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2012
Posts
2,259
Reaction score
1,657
good sunday JF, naombeni kuuliza. siku za jumapili nikiwa naenda church nimekuwa naona watu wakitembea hasa hii njia ya oysterbay along the ocean. wako dressed for a walk na ni wengi. mwanzoni nilidhani ni charity walk ya IST lakini nimeona the same thing hii sunday ya tatu, so kuna kampuni au watu wenye hii ratiba au vipi. leo nimewaona, walikuwa na police escort and i changed routes. nimewa-admire na ningependa kujua hawa ni akina nani na kwanini wanafanya hivi?
 
subiri wa Oysterbay wenzako waje. sisi wengine huko tunakusikia tu
 
Angewauliza straight ila imekuwa ngumu kwa sababu wanaongozwa na polisi!!Unataka aitwe jambazi na alengwe na kitu chenye ncha kali?

Kha simtakii mabaya. jibu ni WAJENZI HURU. aka. freemason. Mzima wewe marejesho?
 
Last edited by a moderator:
hujambo bibie...

sijambo darling, unarudi lini?? nimechoka kukaa mwenyewe na pepari la kihaya Bishanga juzi alipita hapa nyumbani akikuulizia akasema usisahau kumletea kahawa za kutafuna na senene kutoka Bukoba
 
soon mpenzi wangu nami nimekumiss sana, mwambie huyo bepari la kihaya nitamletea zake zawadi...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom