Kifupi nam-admire kinoma mi mdada m1 humu. N natamani sana nionane nae. Ni hayo 2! Iko siku ntafunguka zaidi..
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
yaani wewe ni kama mimi.....wallah kuna huyu mkaka ipo siku nitampa makavu live hataamini.....asinchoshe mie....
tiririkaaa P, hata mimi nakuadmire sana ila domo mbigiri
Admire wote lakini si Madame B wangu hakika risasi zitalindima na damu kutapakaa!
Mambo ya kukaa kimya yatasababisha magonjwa ya moyo jamani!! Sema naye tu,kieleweke!!!
sasa mbona hukusema mpaka uone thread..........?
yaani wewe ni kama mimi.....wallah kuna huyu mkaka ipo siku nitampa makavu live hataamini.....asinchoshe mie....
yaani wewe ni kama mimi.....wallah kuna huyu mkaka ipo siku nitampa makavu live hataamini.....asinchoshe mie....
Admire wote lakini si Madame B wangu hakika risasi zitalindima na damu kutapakaa!
Swaumu ufunge wewe, kufuturu wafuturu watu wengine hebu chukua hatua. Funga halafu futuru mwenyewe jioni.yaani wewe ni kama mimi.....wallah kuna huyu mkaka ipo siku nitampa makavu live hataamini.....asinchoshe mie....
Swaumu ufunge wewe, kufuturu wafuturu watu wengine hebu chukua hatua. Funga halafu futuru mwenyewe jioni.