What is facebook?
It is a place
Where boys post a joke
Get no response.
When girls post the same joke
Get 150 likes, 300 comments and
600 friend requests.
Familia ya cc ilikuwa na wakati mzuri sana wiki end iliyopita. Lile jinamizi la kutokukutana kwa member lilishindwa na kutokomea. Member wa Dar walikutana wakati member wa Mwanza wakiwa pamoja na...
Ndugu,
Mbumbe (Catherine P. Julias) wa viti maalumu kupitia chama cha Sauti ya Umma (SAU) amefumaniwa na mme wa mtu wilayani Temeke na kukatwa mkono wake wa kushoto, kwa sasa amekimbizwa Temeke...
... Jamaa waliojiona ni wajanja ... siku moja kabla ya kufanya mitihani katika chuo kimoja... wanachuo hao walikwenda kujirusha katika kumbi mbalimbali za starehe, hatimaye walilewa sana na...
kabla ya kula dend* fanya yafuatayo kwanza pigen mswaki mates kwa pamoja pili,chukua tochi kukagua mwenza wako hajawai kung'oa jino kama kawahi ng'oa tafuta plasta uzibe pengo la mwenza wako...
Hivi unaijua misemo na maneno yanayosemwa na yule mwanadada kule juu wakati mmepanda kivuko cha MV MAGOGONI??
Baadhi ya maneno hayo au misemo hiyo maarufu....
Abiria mnaoingia katika kivuko cha...
Duhhh, hiii XMas mbona inanielemea kichwani?
Yaani hamna kinacho fanyika, niko ki Xmas zaidi.
Yaani hata kujibu e mail sitaki, ninacho kitaka ni JF zaidi.
charminglady,
cacico
zion daughter...
japo kila mtu ana haki ya kuamua nini avae siku hizi,lakin wanaume wanaovaa suruali za kubana sana inasikitisha,utakuta mtu anatembea na mchumba wake/mke wake,ukiwaona kwa nyuma uwezi jua nani...
Mimi nachoka kabisa Preta pembeni na ila nachoka kugeuza shingo nyuma pamepambwa na Lili Flower, Wiselady,Pj.chipkizi yaani watu kibao gari limepambwa na marafiki wa ukweli familia ya upendo...
Maasai mmoja aliingia club kucheza muziki,mara Dj akaanza kusema,"Kata kiuno.....kata kiuno wewee!!"
Maasai kusikia hivyo akachomoa panga.
Mswahili flani karibu yake akamuuliza,"We vipi,mbona...
HAYA KILA MTU AJE KWA NAFASI YAKE.
mume wangu Kaizer nimekuletea ............berry alonionyesha Natalia pale marrylaine shopping mall naskia ukila hii lazima kadi za benki namafungu ya magap...
Ndoto zingine sijui inamaanisha nini.
ifuatayo ndo list ya uongozi wa nchi ya chitchat!
1. Arushaone - rais
2. Blaki Womani - makamu rais
3. PakaJimmy - PM
4. Filipo - waziri wa maji
5...
za leo waungwana jaman melala nkaota kila mwana jf amealikwa ila sa sijui na nan na niwapi hata mim mejiona kwa ndoto but sijui nan kanialika na wapi hebu mje mseme nyie ndo mwajua vema...
Nashangaa sana hapa bongo watu wanakua active sana kwenye jf siku
za kazi kuliko siku za wkend, nawatakia jumapili njema watu wote mliopata
nafasi ya kuiona hii tread.
Kwako:msomaji
kutoka:kwangu
yah:mwaliko wa X-MASS and NEW YEAR
husika na kichwa cha habari hapo juu.mimi ni kijana mkubwa ninayejiheshimu na mwenye nidhamu kuu.
Dhumuni la barua hii ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.