Filipo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 9,347
- 5,555
Familia ya cc ilikuwa na wakati mzuri sana wiki end iliyopita. Lile jinamizi la kutokukutana kwa member lilishindwa na kutokomea. Member wa Dar walikutana wakati member wa Mwanza wakiwa pamoja na member wa Arusha wakipata mbili-tatu kujulishana maendeleo ya safari ya Tanga. Ni jambo la heri na furaha sana kwetu na natumaini tutakutana pamoja Tanga kwani "nifuraha ilioje ndugu wakikutana". Mungu atujalie. Kwa niaba yangu na my wife wangu marejesho tunawapongeza wote tuliokutana na tutakuwepo Tanga kukutana na wengine.
Otherwise this is memorable week end!
Nawasilisha.
Otherwise this is memorable week end!
Nawasilisha.
Last edited by a moderator: