Njia kama unaenda. Motel 2000
Nakuja mwanza next week...we can meet there
Hahaha! Ingekuwa banana afadhali manake [MENTION=75985]Arushaone[u/MENTION] na banana ni dam dam!
Yap manake nikija arusha huwa ananipokea mabegi standHahahah. Kumbe. Unamfahamu vizuri
Hahahaha! We tedo ndio nini huna siri?Arusha one njoo huku sweetlady anakuita..
Haaaaa..... me nilidhani Hunter ya Mwanza lol!!! haya kila la heri!!!!!!
Hahahah. Kumbe. Unamfahamu vizuri