siku hizi wanaume kuvaa suruali za kubana sana,inanichukiza sana


Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Messages
13,097
Points
1,500
Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2011
13,097 1,500
japo kila mtu ana haki ya kuamua nini avae siku hizi,lakin wanaume wanaovaa suruali za kubana sana inasikitisha,utakuta mtu anatembea na mchumba wake/mke wake,ukiwaona kwa nyuma uwezi jua nani bibi/bwana,binafsi siwezi ongozana na kijana mwenzangu wa kiume aliovaa suruali ua kubana sana,
sijui nyie wengine mnaonaje?
 
A

Ave Ave Maria

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2011
Messages
10,751
Points
0
A

Ave Ave Maria

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2011
10,751 0
Fashion hizo!
 
O

Otorong'ong'o

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2011
Messages
34,479
Points
2,000
O

Otorong'ong'o

JF-Expert Member
Joined Aug 17, 2011
34,479 2,000
Mbona kwa Arusha ni kitu ya kawaida sana...

Mtu kapiga jeans tite, bonge ya shati na bonge ya buti kwa chini, imechongokaje halafu kichwani boshori na mdomoni anaendelea kusaga gomba yake tertiiibu mkononi kitu ya Arusha inatoa moshi...
 
Heart

Heart

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2011
Messages
2,662
Points
2,000
Heart

Heart

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2011
2,662 2,000
Wengine wana miili minene tu jaman...hahhahaa..
 
skipper dx

skipper dx

Member
Joined
Dec 3, 2012
Messages
16
Points
20
skipper dx

skipper dx

Member
Joined Dec 3, 2012
16 20
Sasa umkute na nywele kasuka...mamaaa!!

Sent from my GT-I9300
 
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Messages
31,005
Points
2,000
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2011
31,005 2,000
wenyewe wanaziita modo(model).....i hateeee hizo suruwali
 
Az 89

Az 89

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2011
Messages
1,613
Points
1,250
Az 89

Az 89

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2011
1,613 1,250
mbona we ukivaa suruali pana wao hawachukii? ni nani aliyesema hii ni dhambi kuvaa model? maadili unayoyataka ni unafiki maalumu...kaanze kukemea ufisadi, nyau we
 
sweetlady

sweetlady

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2010
Messages
16,969
Points
1,225
sweetlady

sweetlady

JF-Expert Member
Joined Dec 24, 2010
16,969 1,225
Mleta mada una utani na Filipo?
 
Last edited by a moderator:
i pad3

i pad3

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2012
Messages
1,520
Points
0
i pad3

i pad3

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2012
1,520 0
im short huna exposure hata moja na unatia aibu
 
i pad3

i pad3

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2012
Messages
1,520
Points
0
i pad3

i pad3

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2012
1,520 0
japo kila mtu ana haki ya kuamua nini avae siku hizi,lakin wanaume wanaovaa suruali za kubana sana inasikitisha,utakuta mtu anatembea na mchumba wake/mke wake,ukiwaona kwa nyuma uwezi jua nani bibi/bwana,binafsi siwezi ongozana na kijana mwenzangu wa kiume aliovaa suruali ua kubana sana,
sijui nyie wengine mnaonaje?
Zamani mbona walikuwa wanavaa za kubana juu na chini inaachia?.....usilete ukoloni hata.
You have to accept changes .
 
Evelyn Salt

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Messages
48,323
Points
2,000
Evelyn Salt

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2012
48,323 2,000
Inategemea na shape ya mvaaji bana, kuna men wanavaa hizo wanapendeza kiasi cha kunipotezea concentration mie!!!
 
Evelyn Salt

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Messages
48,323
Points
2,000
Evelyn Salt

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2012
48,323 2,000
mmh hebu fafanua zaidi...wanaume wenye shepu zipi ndio wavae hizo "kanyela mumo"?
Ha ha ha eti kanyela mumo!!!

Wanaume wembamba kiasi wanapendeza sana na hizo trou!!
 
trachomatis

trachomatis

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2011
Messages
3,671
Points
1,250
trachomatis

trachomatis

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2011
3,671 1,250
Inategemea na shape ya mvaaji bana, kuna men wanavaa hizo wanapendeza kiasi cha kunipotezea concentration mie!!!
Unapoteza concetration? Wallah ntaanza kuvaa modo jeans...
 
A

Ave Ave Maria

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2011
Messages
10,751
Points
0
A

Ave Ave Maria

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2011
10,751 0
da kipipi hujambo? Za siku kadhaa?
Sijambo mdogo wangu.
Za siku kadhaa zilikuwa mbaya my Bella . . . .nilikumbwa na kaugonjwa mwayego ndo maana sikuonekana!

Niambie . . . .mzima wewe??
 
Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Messages
13,097
Points
1,500
Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2011
13,097 1,500
im short huna exposure hata moja na unatia aibu
wengine wana makalio makubwa,akivaa suruali ya kubana yani sipati picha,aya ni maoni yangu kila mtu kuna kitu anachopenda na kuchukizwa,binafsi siwezi ongozana na rafik yangu amevaa cha kumbana sana,so haya ni maoni yangu binafsi,usinichukie wala kuniponda
 
i pad3

i pad3

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2012
Messages
1,520
Points
0
i pad3

i pad3

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2012
1,520 0
wengine wana makalio makubwa,akivaa suruali ya kubana yani sipati picha,aya ni maoni yangu kila mtu kuna kitu anachopenda na kuchukizwa,binafsi siwezi ongozana na rafik yangu amevaa cha kumbana sana,so haya ni maoni yangu binafsi,usinichukie wala kuniponda
Pidofio... Kumbe una matamaa yako huko
 

Forum statistics

Threads 1,284,370
Members 494,064
Posts 30,822,861
Top