kata kiuno yako!

kata kiuno yako!

kilimasera

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2009
Posts
3,068
Reaction score
277
Maasai mmoja aliingia club kucheza muziki,mara Dj akaanza kusema,"Kata kiuno.....kata kiuno wewee!!"

Maasai kusikia hivyo akachomoa panga.

Mswahili flani karibu yake akamuuliza,"We vipi,mbona unatoa panga kwa dancefloor?"

Maasai akajibu "Ero redio nasema kata kiuno kwa hivyo mimi naansa kukata kiuno yako!!"
.
.
Watu wote mbio!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom