Mwaliko wa x-mas na mwaka mpya

Chimbuvu

JF-Expert Member
Jul 17, 2012
4,403
2,000
Kwako:msomaji
kutoka:kwangu

yah:mwaliko wa X-MASS and NEW YEAR


husika na kichwa cha habari hapo juu.mimi ni kijana mkubwa ninayejiheshimu na mwenye nidhamu kuu.
Dhumuni la barua hii ni kuomba kupata mwaliko toka kwako wakati wa sikukuu,mimi ukinialika sitamwagamwaga UBWABWA chini kama wengine,nitakuja na hotpot kwa ajili ya kubeba chakula kitakachobaki.na kwa heshima niliyonayo sitakuja na mtu mwingine ili nisikuharibie bajeti.
Asante.
Wako mtiifu (mualikwa)
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom