JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Sikumoja mwanaume karudi nyumbani saa chache baada ya kutoka home kuelekea kazini mata; Mwanamke: khe kulikoni baba Mwanaume: kumetokea ajali kazini Mwanamke: ajali gani mume wangu niambie...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Mimba noma, kuna jamaa alitolewa night kali akatafte vitango tena kwa kilio, ikabidi jamaa amuamshe muuza vitango tena mbali na home kwao, jamaa aliporudi akaambiwa avioshe na avimenye then...
4 Reactions
32 Replies
8K Views
Kuna jamaa mmoja alikuwa mlevi sana wa pombe aina ya gongo.Mke wake na majirani zake walikuwa hapendi tabia yake ya kulewa mpaka anapoteza network.Hata hivyo mke wake kwa kushirikiana na majirani...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
  • Closed
Chitchat oyeee Chitchat juu Naombeni mnipokee mimi ni kitoto kidogo nilikozaliwa leo
0 Reactions
36 Replies
2K Views
Umechanjwa chale za kabila lako, za utotoni na chale ya ndui na bado unataka kukandamiza mitattoo? Kwani unataka kuwa zebra ama?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii ni english ya mwanafunzi bora wa form 4 kutoka shule mojawapo za kata TZ akimwambia mzungu ugumu wa kupanda mlima k/njaro sababu njia haijanyoka moja kwa moja: SIR, TO PLANT MOUNT...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Cockroaches can survive 4 a month without heads bt dat's nothin.In Tz, politicians can survive 4 more dan 5 years without using their heads.
1 Reactions
0 Replies
935 Views
Members wote mliokuwa kwenye Party ya jana iliyoandaliwa vizuri na wana Chit-Chat napenda kuwapa pongezi sana ila nakitu kimoja chakuongea kutokana na kukutana sura ngeni na changamfu nimefurahi...
6 Reactions
248 Replies
11K Views
naomba suti ya guchi kama ya ruttashobola na shati ya chui chui km ya Bishanga na ule mkanda wa chuma,kama wa @ KakaKiiza sijamaliza hiiivi duka lote shilingi ngap!???? hahahahahahaha. Paloma...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Mume: Hello baby! Mke: Hello swt! Mume: Nitachelewa kurud leo Mke: Nishajua uko kwa vijanamke vyako, ww ni mzinzi sana cjui ilikuaje ukanioa nakuchukia kama nn? ckupend! ckupend! Mume: Niko...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa muda usiozidi masaa ishirini na nne nitawasilisha waraka wangu ambao utakuwa una mapinduzi makubwa katika chit chat Wote tunajua mapito ambayo chit chat iliyapitia hivi karibuni ikiwemo...
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Mwalimu mmoja wa shule zetu kama nilizosoma mimi shule za msingi yani alimuagiza mwanafunzi wake akichanganya lugha ya kiswahili na kiingereza...... MWALIMU; we Evarist nifatie stick nimtandike...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Ingekuwa vipi uume wako ungekuwa penseli na uke wa mwanamke kichongeo! Ungekuwaje asahivi umechonga hadi imeisha au umebakia kifutio!!!!
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mabibi na Mabwana habarini za asubuhi.... Kutokana na kimya kingi kutawala katika NDOA yangu na C6 sasa natangaza rasmi kukiaga Chama cha TAMU (Tanzania Married Union) Taratibu zote zimekwisha...
8 Reactions
152 Replies
7K Views
Ashakum si matusi ndugu zangu. Nadhani wengi tunauzoefu na vyumba vingi vya vyoo dimension zake, Sasa assume chumba cha choo kingekuwa na ukubwa wa rumu yako unayolala, ungekuwa huru kujisaidia.??
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Wengi waliniuliza Id yagu nikawazuga kuwa niko kama guest, Niliwaona 4 first time: @Madame B, lara 1 Kakakiiza na wana Jf wengine(Wana sura za kijanja sana), Nilitaka kumuona snowhite(eti yuko...
2 Reactions
96 Replies
5K Views
Hellow..... Wapendwa wa JF Dar Wing napenda kutoa pongezi zangu za dhati kwa JF Dar Wing kwa ushirikiano mlionao. Hakika ni mfano wa kuigwa na mkiendelea hivyo mtawafunika JF Arusha wing...
5 Reactions
87 Replies
6K Views
Wana chi-chat wanamipango ya kununua Tour bus ili iwe na uraisi wakufanya tour katika wing za Arusha,Tanga,hivyo Mwanza,Mbeya mnaomba mjioganaizi ili tujue kama kuna makundi huko!! CHIT-CHAT FOREVER!!
2 Reactions
74 Replies
4K Views
watu8, Slave, Donn, Arushaone, Mzee wa Rula, Jiwe Linaloishi, KakaKiiza, Thanda, na wengieno. tembeeni kwa step. :poa: mia
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Haya wanajamvi hii nayo imekaaje, ni kweli mjini shepu na sura tabia kijijini?
0 Reactions
80 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…