..hahahahahaha...duh

..hahahahahaha...duh

ataulizia na pochi kwa ajili ya housegal wake anayeenda short coz englang
 
Sie tupo tupiga magoli kwa mbali bila kufikia lango la timu pinzani

nafurahi kukusikia tena broda!!! kaza msuli uone lango la timu pinzani mara miaaaa.....utakubalije kufungwa kirahisi kila siku namna hii?!!? barikiwa

Infwakt tupo except huwa hatujibugi vitu vya kipuuzi puuzi!

oooo Mulama nimefurahi kukuona humu leo! akchwale sidhani kama wakati wote vinakuwa vya kipuzipuzi! anyway, ni chaguo lako!! peace sana broda!!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom