Vituko vya mimba!

mpemba mbishi

JF-Expert Member
Nov 27, 2011
1,132
185
Mimba noma, kuna jamaa
alitolewa night kali akatafte
vitango tena kwa kilio, ikabidi jamaa amuamshe muuza vitango tena mbali na home kwao, jamaa aliporudi akaambiwa avioshe na avimenye then avikate alipomaliza akavipeleka, mwanamke akamwambiwa akae chini ya maskio ya mkewe avitafune vyote! Kumbe dem alitamani kuskia kitango kinavyotafunwa!
 
Umeshashiba urojo sasa hivi ukaamua kuja kuzingua tu hapa. Sawa!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ngoja naye aonje mateso ya kulea mimba hadi kutimiza miezi 9 atakuwa ameshamzoea
 
mie mwenzio naambiwa kila siku niende na nyama asikie alufu..ikilala hataki anadai haina harufu.
 
kesho atasema uvae chupi yake.na ukikataa atakwambia anarudi kwao kwa sababu una mpenzi mwingine.
 
Asipofanya anavotaka itatoka???

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Umeshashiba urojo sasa hivi ukaamua kuja kuzingua tu hapa. Sawa!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Sio kosa lako tatizo huyajui maisha hayo! Kuna mwengine anaweza kukwambia anapenda kusikiliza harufu ya makwapa yako!
Sasa balaa zaidi linaweza kutokezea siku akapita njemba mama watoto akatamani kuisikia harufu ya makwapa ya huyo mjamaa au nyumbani siku hiyo hulali, na hutolala kweli! Je kama wewe utafanya nini?
Mkuu usibishe mimba ni zaidi ya ugonjwa...
 
Kusikiliza harufu? Yaani makwapa yanatoa sauti, jasho hilo kiboko!

Mi nahisi mimba zangu zitakuwa zinataka holidays sychelles na brazil. Don Mangi, ntakuita uchangie.maskio ya mtoto afu unipeleke holidays. Paw kazi yake kununua pizza na magari, manake.nahisi mimba itakuwa inapenda magari balaa!

Last edited by a moderator:
Mimba noma, kuna jamaa
alitolewa night kali akatafte
vitango tena kwa kilio, ikabidi jamaa amuamshe muuza vitango tena mbali na home kwao, jamaa aliporudi akaambiwa avioshe na avimenye then avikate alipomaliza akavipeleka, mwanamke akamwambiwa akae chini ya maskio ya mkewe avitafune vyote! Kumbe dem alitamani kuskia kitango kinavyotafunwa!

mpemba pumbafu,thread gani hiyo?
 
Kusikiliza harufu? Yaani makwapa yanatoa sauti, jasho hilo kiboko!

Mi nahisi mimba zangu zitakuwa zinataka holidays sychelles na brazil. Don Mangi, ntakuita uchangie.maskio ya mtoto afu unipeleke holidays. Paw kazi yake kununua pizza na magari, manake.nahisi mimba itakuwa inapenda magari balaa!

Inawezekana mimba zako zikawa hivyo kutokana na 'user name' yako!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom