Nyooooohhhh!!

Kana-Ka-Nsungu

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
2,257
353
Mume: Hello baby!
Mke: Hello swt!
Mume: Nitachelewa kurud leo
Mke: Nishajua uko kwa vijanamke vyako, ww ni mzinzi sana cjui ilikuaje ukanioa nakuchukia kama nn? ckupend! ckupend!
Mume: Niko BENKI hapa
Mke: Haa! Ulijuaje kama cna hela, nitolee laki 1 baby, nakupenda sana kuliko roho yangu, nakutengea maji yakuoga sweety. Ucsahau hizo pesa ninunulie na chips kuku mmwaaaa!
Mume: Ni BENKI YA KUCHANGIA DAMU
Mke: Nyoooo waambie wakutoe yote
 
Wenye mapenzi ya kweli dunia hii si wengi, unaona katika joke hii mwanamke anavyojibadilisha ghafla kama kinyonga kisa umletee chochote. Wapo mume na mke wengi ambao mapenzi yao yanashikiliwa na mali kinyume na hapo ni hewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom