Wana chi-chat wanamipango ya kununua Tour bus ili iwe na uraisi wakufanya tour katika wing za Arusha,Tanga,hivyo Mwanza,Mbeya mnaomba mjioganaizi ili tujue kama kuna makundi huko!!
CHIT-CHAT FOREVER!!
....gharama ya fuel kwa tours zote juu ya Bishanga tajiri la kihaya linalokopaaaa kwa riba!!!:glasses-nerdy:
KakaKiiza JF Mwanza tupo sema wengi ni invisible!!!!!
Wana chi-chat wanamipango ya kununua Tour bus ili iwe na uraisi wakufanya tour katika wing za Arusha,Tanga,hivyo Mwanza,Mbeya mnaomba mjioganaizi ili tujue kama kuna makundi huko!!
CHIT-CHAT FOREVER!!
Nitakuwa dereva wa hilo basi.......
Nitawapeleka Serengeti.........Mmmmmh
we utatupeleka...................................
Naomba dereva awe Slave .....
nachoka kwenda sokoni kwa mguu!!!!!!
Naomba dereva awe Slave .....
nachoka kwenda sokoni kwa mguu!!!!!!
Nasi tujipange