jaqfantasy212
JF-Expert Member
- Dec 17, 2012
- 542
- 258
Haya wanajamvi hii nayo imekaaje, ni kweli mjini shepu na sura tabia kijijini?
Haya wanajamvi hii nayo imekaaje, ni kweli mjini shepu na sura tabia kijijini?
Haya wanajamvi hii nayo imekaaje, ni kweli mjini shepu na sura tabia kijijini?
100..njururu ndo mpango mzima mjini na utapata kila aina unayotaka.mjini mshiko, aka pochi, aka shekeli, sura na shepu ni matokeo kwani kuna shape za kichina pia na sura hufanyiwa ukarabati na yote hayo huwezeshwa na pesa tu. yaani mjini pochi yako tu utapata sura shepu na tabia pia. kwa vijijini sina hakika:shut-mouth:
we unaishi mjini au kijijini, maana kama waishi mjini wadada wenye jina kama lako huwa wamejaaliwa halafu wengi wanamiliki saluni!!!
kwa mdada labdaa... Ila mwanaume kama mimi waleti tu ndo inahusika
Kweli, tena shape kwanza sura b'dae na tabia ni matokeo tu
Kweli, tena shape kwanza sura b'dae na tabia ni matokeo tu
Utakalia lishepu lako wenye tabia na sura wanaolewa!
ww unaangalia nn kwa mdada?
hilo nalo neno
sura ndo huwa inanivuta....ila nikiona tabia mbovu... Nachapa lapa[/QUOTE
mmh!!! wenye sura za kina masudi sura mbaya tuna wakati mgumu mjini hapa!!!??