JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Heheheh!!! ngoja nianze kwa cheko kwanza maana hii nyeti nimetoka kuisikia hapa kwenye korido za Wizara ya Maliasili na Utalii... Eti lile jilima refu kuliko urefu wenyewe linalopatikana kwa WASEE...
3 Reactions
45 Replies
4K Views
Naku.............................. Manoah. lakini naogopa kukwambia coz cjui utachukuliaje then namuogopa mama yako ticha mkali pili kakulea kwa maadili yote cjui kama ntaweza fanikiwa, Any Agent...
2 Reactions
209 Replies
11K Views
Mi basi bana The secretary katafute bwana mwingine akuoe.Wivu gani huo mpaka unatoa povu utadhania umemeza omo.Mchango nilitoa,shati jeupe la linen mariedo nikanunua.Wakati najiandaa kutoka...
6 Reactions
130 Replies
8K Views
Hello wana Chit Chat! Nimevutiwa na jukwaa hili na natamani sana kulijua vilivyo jukwaa hili. Naomba ukaribisho,utambulisho na maelekezo.
0 Reactions
43 Replies
3K Views
Huyu JF member, amekuwa kimya sana, nimemiss sana zile tungo tata zake. Miongoni mwa tungo tata hizo ni pamoja na:-...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
... NIPO na my wife arabela hapa... ..... . . . .................... . . . . .............. . . . . .............................. usipoitika utakuwa magendo WITO MWISHA SAA 12...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
SIJUI KAMA SIKU HIZI IPO HII! 1. Kupakwa GV kwenye kidonda 2. Kung'olewa jino kwa uzi 3. Ubwabwa kupikwa j2 tu 4. Kidonda kuwekwa unga wa 'rangi mbili' 5. Kupamba kadi sebuleni 6. Ukumbi wa...
2 Reactions
53 Replies
8K Views
Mahusiano mara nyingi hupitia katika majaribu na magumu, na njia nzuri ya kusinda vikwazo ni kusahau tofauti zenu zote na kwa mwenza wako yakupasa kumkumbatia na kupeana moyo.Natumia fursa hii...
1 Reactions
48 Replies
2K Views
Ebwana ee... Salamu kwa Mods... Poleni kwa kazi nzito... Salamu kwa members... Poleni kwa shughuli za kila siku... Yaliyonikuta Chit Chat tangu Desember mwaka jana mpaka leo hii. Fata stori...
4 Reactions
61 Replies
4K Views
Wakuu naona mida ya maakuli ndo hiyo. Waswahili husema ukimchunguza sasa kuku anavyotaga hilo yai utashindwa kulila; au kwa kifupi siri ya mtungi aijuaye kata. Kila mmoja anajua anakopata msosi...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
..........Mwendesha bodaboda jana alitoka nduki bafuni alipokuwa anaoga.. huku akipiga kelele ...bafuni kuna mashetani..... kwa sababu kila akijimwagia maji kichwani hayafiki kwenye nywele ...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamaa fulani alirudi nyumbani kwa huzuni mazungumzo yao yalikuwa hivi: MKE:Mbona leo una huzuni mume wangu? MUME:Ofisi yetu imeungua ni mimi,sekretari,mhasibu,bosi na mkurugenzi mkuu ndo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mwanaume akiwa mmbea hapendezi hata kiduchu..!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Afisa misitu kaenda kwenye shamba la miti la jamaa kukagua. Jamaa akamwambia usiingie saa hizi. Afisa akatoa kitambulisho cha kazi, "We ni nani wa kunizuia? Kwa hiki kitambulisho hakuna wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
jamaa alikuwa akikatiza porini mara mbele yake akatokea simba ilikuwa ghafla halafu jirani sana na yeye jamaa kuona vile akajua hata akikimbia hawezi kushindana na yule simba, jamaa akapiga...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
WAZO LA LEO: Mpenzi wako mpya ni mpenzi ni mpenzi wa zamani wa mwenzako yaani ni sawa na nguo chakavu ndo dekio jipya.
2 Reactions
5 Replies
6K Views
Nisameheni wana CC!
1 Reactions
38 Replies
2K Views
Ukibadili ID toa taarifa tukujue tafadhali. . . Usituchanganye bhana. . . Wapi manoah, Erotica, Ciello et al?? Hata kama umebadili dini tupe taarifa kwani tulishakuzoea kwa ID ile...
4 Reactions
107 Replies
5K Views
Mkuu zubedayo_mchuzi- Rejea kiapo chako jana kuwa niombe radhi CC (Kwa kosa nisilo lijua!) la sivyo utanishughulikia kwa sayansi zako ndani ya masaa 24. Naona ni saa la 26 sasa...vipi,umefikia wapi?
0 Reactions
42 Replies
3K Views
Mambo ni vipi?
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom