Chitchat oyeee
Chitchat juu
Naombeni mnipokee mimi ni kitoto kidogo nilikozaliwa leo
Happy birthday
vinini
Maneno yako matamu, yenye naniihi
kwani umeyakosa au hukuona uthamani wake
Uthamani wake na utambua, ndio maana nimesema!
karibu tena
ntaendelea prove ukweli wa hii sentensi humu ndani azawise past kitu gani??????????????
Hee!!
Alikuwa Antchitchat society,ghafla Id imegeuka kuwa C.T.U!!
Ahaha kavuliwa chupi live,Kipipi njoo ushuhudie ,mamaaa toba illah
Ahaha kavuliwa chupi live,Kipipi njoo ushuhudie ,mamaaa toba illah
Khaa!
Ona na huyu nae! Nimetoka kumkataza watu8 punde hivi asitajetaje nguo za ndani hovyohovyo wengine tuna maaleji sugu ujue! Vikitajwa tu tunahemkwa! Alaaa!
Usirudie tena!