JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Si kama ujio gesi pande za mtwara, nakuja kama sijui nani vile nakuja kama nani kirusi, Baada ya kukaa selo kwa muda usiovumilika hatimaye I'm out. Sijui nianzie wapi ila: i. Kesho jumatano...
8 Reactions
467 Replies
20K Views
WARAKA WA KWANZA WA C.T.U KWA WANA CHIT CHAT WOTE Wakuu habari zenu poleni kwa majukumu ya siku nzima Leo sina nia ya kuigawanya chit chat wala sina nia ya kuipa msuko suko la hasha …...
4 Reactions
256 Replies
12K Views
Ina maana wanakuwa hawana birthday this year au uibadilisha kuwa tare 28. Maana my la aziz wangu kazaliwa tar 29/02 alafu kanikumbusha bithday yake imekaribia. Sijamwelewa yaani.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Party ikiwa inaendelea, vinywaji na maongezi yakikolea huku yakisindikizwa na muziki mwanana, ndipo hapo nikapata fursa bin wasaa wa kumsogelea bibie mmoja. Maongezi ya hapa na pale yakatufanya...
2 Reactions
85 Replies
5K Views
UNAWEZA KUDHANI NI MWANAUME SIO?? Anaitwa Renee Toney mwanamke body builder(mjenga misuli)na mnyanyua vitu vizito.Renee au Rene wanavyomfupisha asili yake ni Brazil lakini ni raia wa...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
It hurts me to say this, but am thankful to Zinduna's Talk Show because imeniwezesha ku find out what kind of a TERRIBLE MAN you are Erick! Bishanga alinipa warning mara nyingi nikapuuzia. And...
4 Reactions
259 Replies
15K Views
Hii imetokea katika chombo kimoja cha habari kenya. Je wamasai siyo watu.
0 Reactions
3 Replies
887 Views
Muarabu mmoja alikuwa napita sehemu fulani saa mbili usiku, akawaona watoto wanapenyeza vidole vyao baina ya shata na frame ya mlango wa nyumba yao,yule mwarabu akawakataza wale watoto kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
watanzania wavivu jmn!... hebu skia hii wezi 2 walivamia bank na kufanikiwa kuiba mabunda ya hela kufika nyumbani mmoja akamwambia mwenzake "hebu zihesabu tujue ni sh ngapi" mwenzie...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu nimeikuta hii mahali dah ikabidi niduae kwa dk kadhaa Kumbe kuna wanawake wanapenda hii mambo.....................................!
1 Reactions
41 Replies
3K Views
Hatua za mwanzo na mchakato ndio unaanza, baraka zenu zenu na maombi yenu katika kurifanikisha hili. gfsonwin my mama mpenzi. Baba V mwenyekiti Donn wa ukweli kaka Ronn M my bother Chimbuvu...
1 Reactions
143 Replies
7K Views
Mtoto alimuuliza baba yake eti baba ukikuta noti ya sh.10,000 na sh. 5,000 utaokota ipi? Baba akajibu we ----- nini? Naokota ya sh. 10,000. Mtoto: We ndo -----! mimi naokota zote!!!
3 Reactions
6 Replies
3K Views
WAZO LA LEO: Fanya usela wako wote, usharobaro wakila aina, uchizi, uhuni, utozi na unyangema lakn HUWEZI KUVAA KANZU MLEGEZO usiku mwema.
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Nina mahaba na wewe unaesoma uzi huu..hakika ni mahaba ya dhati..
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Tarehe 29/January 2011 ndiyo ilikuwa siku nliyojiunga Jamiiforums na leo natimiza miaka miwili. Si mingi lakini kwa niliyoyapata humu nnawez kusema nina full package ya faida, hivyo kwangu miaka...
16 Reactions
137 Replies
8K Views
Mwenzenu nyumbani hapaliki wala hapalaliki, nimepotelewa na Kikuku changu siku ya White Party. Kama kuna mtu alinionea basi anairejeshee tafadhali. Hivi siku zile nilikuwa nimekaa na nani...
8 Reactions
261 Replies
17K Views
Mimi ni mpya humu chit chat, nauliza kuhusu utaratibu....nini hasa kinafanyika huku, isije kuwa watu wana cheza disco humu mimi nikaanza maombi! Nawasilisha Sent from my BlackBerry 9700 using...
0 Reactions
37 Replies
2K Views
daktari aliamua kupima maendeleo ya wagonjwa wake wawili wa akili. akawapa kioo na kuwambia wakiangalie na kutambua sura watakayoiona. CHIZI 1; (huku akiangalia kioo) hii sura kama naijua vile...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
huna hata mia mfukoni...afu unamtokea dada mzuri ana uwezo,ana push usafiri wake,ila kwa kuwa wewe ni iron heart unaenda kwa confidence unamueleza ziki zako ana kusikia na anakupa moyo wake,afu...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Kuna jamaa alitaka kumuumiza mpenzi wake kwa masihara tu, kwakua wapo mbali mbali mikoani, huyo jamaa akamwandikia mpenzi wake,(nimepata mpenzi mwingine wewe sikutaki tena! kwahiyo ile picha...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom