Boflo
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 4,383
- 4,413
Wengi waliniuliza Id yagu nikawazuga kuwa niko kama guest, Niliwaona 4 first time: @Madame B, lara 1 Kakakiiza na
wana Jf wengine(Wana sura za kijanja sana), Nilitaka kumuona snowhite(eti yuko nje ya Dar), gfsonwin (pole sana na
msiba), Preta (yuko Arusha), zomba kingkong n.k
Bujibuji njoo uthibitishe, ww ndio tulipiga story sana jana na nikakuambia Id yangu