Wanawake, wasichana, na wamama waliozaliwa chini ya mwaka 1980... Wanajua kumtunza mwanaue, wanajua wajibu wao ipasavyo, hata M A L O V E wanayajua na yale mambo mengine mazuri mazuri unayo yajua...
Leo mungu akipenda nategeamea kwenda Lindi,natoka Dar saa nane,nitalala hapo "Sweet Home" nitafika usiku,alafu ijumaa jioni nitakuwa mtwara,Jumamosi narudi Dsm,Kusini Oyeee,niwakute wapi wana bodi...
Upumbafu, Mwanaume analala na wanawake zaidi ya watano pasipo kutumia Condom. Halafu kila akienda kunyoa barbers shop anaenda na mashine yake ya kunyoa.
Ungezea na yako ukianza na neno Upumbafu.
EGEMEA KITI CHAKO NA PUNZISHA KICHWA KIDOGO
Mwl. Hadija Alikuwa anapata shida na mwanafunzi wake mvulana wa darasa la kwanza
Mwl; Una matatizo gani wewe mvulana?
Mwanafunzi; Nina akili sana...
Jamaa walikubaliana washindane kusema uongo ambao utafanana na ukweli, mshindi apewe zawadi...
Mmmarekani: Kwetu sisi kule New York kuna majumba mareeefu
yanafika mbinguni...
1. Mchaga neno Kupenda ni Msamiati
2. Akiwa hana hela anaugua/anakuwa mkali sanaaaaaaaaa
3. Ni heri akakununulia bia 3-5 baa kuliko kukupa "cash" uende ukatumie hata kama ni kununulia...
Hi there..is this true ??????
An airplane was about to crash; there were 5 passengers on board but only 4 parachutes. The first passenger said, " I'm Kobe Bryant, the best NBA basketball player...
Old aunts used to come up to me at weddings, poking me in the ribs and cracking, telling me, " you are next"!!! They stopped after I started doing the same thing to them at funerals...!!!!
Huku uswahilini tuishiko , wenyewe sie wadau wa huku tunafahamiana.
Tunajua familia flani inasifa ya usomi (wengi wamebukua , ziko familia walevi sana , wako wavivu kupindukia , na aidha zipo...
Man asks his doctor, "Can I have sex with my pregnant wife?"
The doctor replied:
"Yes. The first 3 months will be just like normal the next three months you should do it like dog and the last...
Jamaa alikuwa anamtumia ndugu yake. 100,000 M-PESA bahati mbaya akakosea namba ikaenda kwa mtu mwngne,akawaza pesa yke ataipataje?akaamua kumtumia jamaa msg ' Mpendwa tunategemea umepata pesa yetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.