JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ninarudi toka Safari yangu. Wale waliotaka zawadi mnikumbushe niwaletee..!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Je unajua kuwa 2 = 1? Wataalam wa hesabu tunasema kuwa kama x=y basi 2x=2y kwahiyo 2x-x = 2y-y si sawa? Maana yake ni kuwa 2x-2y = x-y hapo hakuna ubishi naamini. Hii ni sawa na kusema...
1 Reactions
48 Replies
8K Views
Kuna kajimtihani kadogo,umeenda dukani kununua sukari kilo 1 lakini kwa bahati mbaya mwenye duka hana jiwe la kilo moja lakini ana jiwe la kilo 10 na la kilo 7.Swali atafanyaje ili aweze kukupimia...
1 Reactions
21 Replies
6K Views
Mara yako ya kwanza kujua kama kuna mtandao wa kijamii(Jambo/JamiiForums)ilikua wapi? Ulisimuliwa au uliona Tangazo au ilikuaje mpaka ukafika HUKU? Mimi binafsi niliijuwa kupitia Mwanahalisi...
1 Reactions
51 Replies
3K Views
Watu wengi sana hapa wanaogopa kufunguka. Mimi naweza, Hivi ndivyo vitu tatu navipenda sana. 1. Reggae Music 2. Colour ya blue 3. Computers and technology stuff Nani mwingine aweza 'dare talk...
1 Reactions
57 Replies
3K Views
Mambo vipi wadau,,,yeyote ambae anaweza kunipa kampani ya mtoko usiku huu namkaribisha....
0 Reactions
8 Replies
1K Views
hihihihihiihihihihhhhhhh teh teh teh.......................!
1 Reactions
25 Replies
2K Views
kati ya nyumba na ndege ipi ina paa juu?
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Jamani hawa wenye simu za blackberry wanakera kweli facebook. Unakuta mtu eti pin yangu 7c....ni add, so what????? Achaneni nazo, njooni huku ios7 muone ilivyo bomba!
1 Reactions
46 Replies
3K Views
Hi MMU Attendants!! Check Hawa Celebrities: MADONNA Is 55 Her BF Is 22,TINA TURNER 75 Her BF 40,JLO 42 Her BF 24!!!
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Jamaa mmoja kutoka mkoani singida, aliungana na wenzake kumi kuelekea Bukoba kwenye mkutano wa vijana, Walipofika huko waliwakuta kina Muganyizi na byarugaba wakioga kwa bomba a.k.a maji ya mvua...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mfugaji mmoja alikwenda kwa mfugaji mwenzake (ambae pia ni bwana mifugo wa eneo lao) asubuhi moja. Alipobisha hodi mtoto wa kiume wa umri upatao miaka 12 akamfungulia mlango. Mazungumzo yafuatayo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Juzi nilikuwa naenda kazini nikamuacha mume wangu nyumbani anaangalia TV, gari langu likazima ghafla kiasi cha kilomita moja toka nyumbani. Nikaona nitembee mpaka nyumbani kumwomba mume wangu aje...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Kitendo cha ng'ombe kumaliza huku anatembea ni kujali muda ama uzembe?
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Simu inaita binti anapokea: Hallo mpenzi, mambo? Jamaa upande wa pili: Poa baby, uko wapi? Mimi niko town napata lunch. Binti: Wow! Nice. Unarudi saa ngapi? Nina njaa dear nataka uniletee...
6 Reactions
13 Replies
6K Views
Ni game ya kiushkaji matusi no matani zaidi... natoa sentesi ya matani neno la mwisho unaanza nalo wewe kisha utakalo maliza ataanza nalo mwenzako...wa mwisho ndo mshindi... oke lets go--> sura...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
useng'hwe nashokile nalenaja mabhulaya namenhelile bipi nanyama
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani nampenda King'asti, King'asti kama kweli unampenda Paw mwambie anipe ban ya mwaka nihakikishe kwa macho yangu Paw kama upo tayari kutumia cheo chako cha mod kuniban basi poa tu nipe ban...
8 Reactions
145 Replies
10K Views
Nimekumiss sana mzee mwenzangu, vip uko likizo au mana sijapigwa ban mda mrefu sana. Msalimie shemeji mwambie nimemmiss sana.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom