Kwaherini Kigoma

Kwaherini Kigoma

Adharusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2012
Posts
14,506
Reaction score
7,445
Nilikua Kigoma tokea mwezi wa Tisa,mpaka leo ninapoihacha,Kwahelini
 
Najua umeinjoi sana. chama lini twende tukaimarishe ccm kigoma?
 
Last edited by a moderator:
we mbahili,chache sana

Tatizo niliona nitakuwa na mzigo mkubwa,sababu nitasimama Dodoma kama siku mbili alafu ndo niende jijini,tena sasahivi zimeshuka bei tsh 9000 kwa kilo
 
bora ulivyowaaga ukirudi tena watakukaribisha vizuri.
Nalog off
 
Tatizo niliona nitakuwa na mzigo mkubwa,sababu nitasimama Dodoma kama siku mbili alafu ndo niende jijini,tena sasahivi zimeshuka bei tsh 9000 kwa kilo

Elfu 9 per 1 kg! Hiyo itakua mboga ghali pengine kuliko mboga zote barani Africa!
 
Elfu 9 per 1 kg! Hiyo itakua mboga ghali pengine kuliko mboga zote barani Africa!
Kukiwa na mbalamwezi kwa kigoma kilo 1 inaenda mpaka tsh 15000,na Dar inafika mpaka elfu 20 kwa kilo
 
Napita Kibondo sasa,mtuombee jamani,tusitekwe na wale waliojiajiri kwa nguvu zao
 
Nipo Nyakanazi njia panda ya kwenda Burundi/Rwanda\Bukoba,tunaanza rami
 
Back
Top Bottom