Jamaa na M-PESA...!!!

Jamaa na M-PESA...!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Jamaa alikuwa anamtumia ndugu yake. 100,000 M-PESA bahati mbaya akakosea namba ikaenda kwa mtu mwngne,akawaza pesa yke ataipataje?akaamua kumtumia jamaa msg ' Mpendwa tunategemea umepata pesa yetu ya kuingizwa freemason kinachofuatia ndugu zako 3 watafariki ndani ya nusu saa kuanzia sasa na baada ya hapo nenda njia panda yoyote utakuta mtu wetu atakupa damu ya kiapo na nguo rasmi,kila la heri" baada ya dk 2 akapokea msg ya kurudishiwa M_PESA yake, usifanye masihara na mkwara wewe!
 
Hii ni kali kweli, mbali na jokes suppose ikikutokea kabla hujawahi kuona hapa ni lazima kweli urudishe hela au ukimbilie polisi kuomba msaada
 
Jamaa alikuwa anamtumia ndugu yake. 100,000 M-PESA bahati mbaya akakosea namba ikaenda kwa mtu mwngne,akawaza pesa yke ataipataje?akaamua kumtumia jamaa msg ' Mpendwa tunategemea umepata pesa yetu ya kuingizwa freemason kinachofuatia ndugu zako 3 watafariki ndani ya nusu saa kuanzia sasa na baada ya hapo nenda njia panda yoyote utakuta mtu wetu atakupa damu ya kiapo na nguo rasmi,kila la heri" baada ya dk 2 akapokea msg ya kurudishiwa M_PESA yake, usifanye masihara na mkwara wewe!

duh!!!!!

nimeswetiiiii!!
 
mh! jamaa mbunifu sAna mana isingekua hivy0 jamaa anget0a na kuzima KIBIRIT chake kwa siku kadhaa hv....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom