Maisha ya MCHAGGA....

Maisha ya MCHAGGA....

Lovebird

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2012
Posts
6,711
Reaction score
10,084
1. Mchaga neno Kupenda ni Msamiati

2. Akiwa hana hela anaugua/anakuwa mkali sanaaaaaaaaa

3. Ni heri akakununulia bia 3-5 baa kuliko kukupa "cash" uende ukatumie hata kama ni kununulia unga/mafuta ya kupikia

4. Walizoea kuacha wake vijijini (kwa baba mkwe)...wanakuja mjini kutafuta pesa/mbesa/leeryi/...kijijini akirudi anakutana na watoto wanaofanana nae (baba mkwe katungua tunda)

5. Huwa hatoi hela asubuhi...kama ni hela za matumizi lazima ziombwe jioni na atatoa jioni (walikuwa wanaamini ukianza kutoa hela asubuhi siku nzima utakuwa unatoa hela tu)

6. Endelea ...........
 
Kama umeolewanaye,akikupatia shilingi mia tano ununue mbege basi wewe ukanunua nusu kilo ya unga upike ugali mle wote na watoto, anakulamba shaba,anamfata na mama yako anamlamba shaba kisha na yeye anajilamba shaba ya kidevuni!
 
1. Mchaga neno Kupenda ni Msamiati

2. Akiwa hana hela anaugua/anakuwa mkali sanaaaaaaaaa

3. Ni heri akakununulia bia 3-5 baa kuliko kukupa "cash" uende ukatumie hata kama ni kununulia unga/mafuta ya kupikia

4. Walizoea kuacha wake vijijini (kwa baba mkwe)...wanakuja mjini kutafuta pesa/mbesa/leeryi/...kijijini akirudi anakutana na watoto wanaofanana nae (baba mkwe katungua tunda)

5. Huwa hatoi hela asubuhi...kama ni hela za matumizi lazima ziombwe jioni na atatoa jioni (walikuwa wanaamini ukianza kutoa hela asubuhi siku nzima utakuwa unatoa hela tu)

6. Endelea ...........
The usual stereotype!
 
6. Watoto kiume kwao ni bora kuliko wa kike.
7. Majina ya watoto lazima yawe ya kizungu hata kama hajaenda shule.
8....
 
6. Watoto kiume kwao ni bora kuliko wa kike.
7. Majina ya watoto lazima yawe ya kizungu hata kama hajaenda shule.
8....
namba saba,kweli hawa ni watumwa wa watu weupe.
Nalog off
 
Mh... naona hawa watu wanapendwa, kila siku wao tu!
Jamani kwani kabila langu la wapogoro halifai kuanzishiwa lisredi?
 
ukienda kuoa wanakuuliza kama una kabati laenye barafu? (Fridge)
baba mkwe hupenda ajue mshahara wako!!!!
majina yao mengi yameunganishwa mawili mawili
praygod, selfgod Onaely Anamaria nk
 
Back
Top Bottom