Mapenzi bhana

Mapenzi bhana

Yesar

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2013
Posts
300
Reaction score
17
Mapenzi ya sasa credit tatu yani
c=cash
c=care
c=car
dah yn ukishindwa kucheza na izo credit dah....
 
Najua kuna mlioachika coz of dat hebu tiririkaaaa wana madavidavi
 
eeh.!! Pitia uzi wa miss strong hapo juu..jamaa kapiga credt zote lakin bado anaonekana zoba
 
Last edited by a moderator:
Materiallistic lifu ! Outing+Dinnner+shopping+travelling+gifts = Money money mo mo !!
 
Kuna mapenzi ya sasa na mapenzi ya zamani?

Mapenzi ya sasa credit tatu yani
c=cash
c=care
c=car
dah yn ukishindwa kucheza na izo credit dah....
 
Teh teh teh mapenz ila wadau me friend angu kamuacha dem xa 4 saa 5 anaomba 4givnec et n 2 late teh teh teh
 
Ukiwa na hizo credit halafu umefeli hesabu au GS basi hazikusaidii kitu.
Mapenzi haya ukienda kichwa kichwa bila mahesabu makali umeliwa na crdt zako
 
Hapa mjini dar...naona asilimia kubwa ya watu hatupractise mapenzi tunapractise ngono...na tunaona ni ujanja ndo maana zinakuja mada kama hizi...
 
eeh.!! Pitia uzi wa miss strong hapo juu..jamaa kapiga credt zote lakin bado anaonekana zoba

i wish ningejua mengi sana kuhusu wewe,ongera sana hua naisi na gain kitu nikisoma coment zako.
 
Last edited by a moderator:
Hapa mjini dar...naona asilimia kubwa ya watu hatupractise mapenzi tunapractise ngono...na tunaona ni ujanja ndo maana zinakuja mada kama hizi...

bora umeona!
 
Teh teh teh mapenz ila wadau me friend angu kamuacha dem xa 4 saa 5 anaomba 4givnec et n 2 late teh teh teh

Hahaaa jana nimejifunza kitu,....neno TUACHANE ni zito sana na sitokaa nilitamke tena.......nikawa nakumbushwa memory zote tamu na chungu tulizopitia huku sauti ikisindikizwa na kwikwi lol....nilijikuta tu nimekuwa mpole na kibao kimegeuka mi ndo naomba msamaha...too lucky i waz not too late kama rafiki yako
 
Hapa tunasema ndoa tu kama unataka mapenzi yakute hapo jukwaa la supa mastaa wa jf mmu.
 
Unajua kuna mapenzi na wenye mapenzi ya kweli wapo! Na kuna mapenzi biashara na wafanya biashara ya mapenzi wapo,,! Sasa nazan ww umezunguzia wafanya biashara ya mapenzi,,, (ngono)
 
Haya wadau naona kila m2 analia na maumivu yake
 
Back
Top Bottom