Tafadhali inakuhusu na usiwe mkali hadi unitishie kwenye PM

Zero One Two

JF-Expert Member
Sep 16, 2007
9,347
3,023
Wanawake, wasichana, na wamama waliozaliwa chini ya mwaka 1980... Wanajua kumtunza mwanaue, wanajua wajibu wao ipasavyo, hata M A L O V E wanayajua na yale mambo mengine mazuri mazuri unayo yajua wewe...

Wanawake, wasichana na wamama waliozaliwa juu ya mwaka 1981... hawa hawana lolote, ni baraa ndani ya nyumba hawashiki, ni moto wa kuotea mbali, hawajui hata M A L O V E, alafu wameingia kwenye mkumbo wa tigonism ila sio wale wa chini ya 1980 huo mchezo wana ukemea sana.

Wababa, wakaka, wanaume walio zaliwa chini ya 1984.. hawa hawajui kitu, waliwa na wanawake yani wanaibiwa, hata mambo hawajui na sound pia hawajui kupiga, ni madomo zege yanayo tumia hela na kuhonga vigari, na ni wachovu ila wana nguvu za kiume kidogo alafu inapenda kutembea na vibinti vyao, haina noma inapo kutana yenyewe inajadiri ngono na matusi na mikanda ya kikubwa na kurushiana vipicha na tu video clips na wanapenda kujaribu tigonism.

Wababa, wakaka, wanaume waliozaliwa juu 1985.. hawa wajanja wajanja sana, wamejawa tamaa, wanapenda sana totoz nzuri haijalishi umri, hawana nguvu za kiume ni wa bovu bovu... hawajatulia na hawawezi kutulia na mwanamke mmoja, wao wanahonga Mobile device kama galaxy 4, Iphone , Ipad na wanayo yajua wao pia ... niishie hapa

Utafiti huu ni kwa isani ya watu wa Mongolia ikishirikiana na mwenye .....
 
Hainihusu napita tuu hapa manoah
Hujambo lakini na vipi mapinduzi yako yalifanikiwa
 
Last edited by a moderator:
Kweli dogo siku zako zinasogea!
Mungu akuongezee nyingine za bonus km miaka 80 zaidi
 
2manoah hiyo avatar yako hii........mhhh ndo dad yako kakushauri uweke hiii!?!?!
au ndio mimisa kaondoka na mind yako?!?! usiwe unavamiavamia jamani chunguzeni kwanzaaaaaaaaaa
ona sasa............. Bishanga ulizaa na nani huyu ntoto.........
 
Last edited by a moderator:
Bishanga...mimi sio chanzo cha matendo ya sasa ya mwanao...mbna mie nimetulia tu apa? ata sivutag cha mara wala cha arusha
 
Last edited by a moderator:
huu utafiti nina mashaka nao. unataka kuniambia mtu kama Bishanga yupo katika kundi gani !maana hawa ndio wale waliopigana vita vya maji maji enzi zile.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom