Yani ndo naamka, niko dining room na kilichoandaliwa sijui ni niite breakfast au lunch maana meza imesheheni mapochopocho ,hakika my heart beat A.N knows for sure how to do it and when...
Kukumbatiwa au kukumbatiana ni Sehemu ya mapenzi hasa mlalapo, lakini ukiwa na mwenza ambaye hataki kabisa kukumbatiwa au ambaye Anataka kukumbatiwa Usiku wote basi hapo kuna shida, au pia wapenzi...
Habarini za weekend marafiki
Natumai mko wazima buheri wa afya njema na wale ambao
hawako vyema nawatakia afya njema Mungu awaponye
Nimeona nichague Sample za kuonesha kwenu jinsi gani WANAUME...
This place iko pale posta ni sehemu ambayo huwezi imagine kama kuna any activity going on pale..ni sehem ya games mbali mbali pamoja na mazoezi ya viungo.sasa nilitaka nijoin ile club maana...
Wengi hasa masistaduu huvaa kama fashion au usasa lakini je unajua maana yake zaidi...?
Kwanza kwa tabia yake ya kufunika mbele na kuacha kikamba tu ndio kifunike ma..ko huashiria kuwa mini...
Leo naiweka rehani KADI yangu ya Chama cha Mapinduzi Kama Yanga(Kandambili'YeboYebo")watabahatika kutuFunga sisi Wanamsimbazi,Leo ninacho amini Tunawapiga wajukuu wa Akilimali,anaekalia SoFa...
Hapo zamani za kale fisi walikuwa wanakaanga karanga zao,walipomaliza kukaanga sungura akaiba karanga zote,walipogundua sungura ameiba wakamfungia ndani ya nyumba,wakamkamata,wakamfungia ndani ya...
Ndugu zanguni mashabiki wa simba kwa furaha niliyonayo sina budi kuchinja mbuzi ili nijipe raha! Karibun saana! Yanga a.k.a kandambili njoon msiogope na mjiandae mzunguko wa pili timu yetu itakuwa...
~Heaven father, please bless sweetlady for today is her birthday. Dear Lord please protect and guide sweetlady as she continue along the path you have chosen for her. Give the courage to...
Nesi mmoja aliachiwa maagizo na ndugu
wa mgonjwa ikifika saa 8 ampe mgonjwa
chakula.. Yule nesi kabla ya saa 8 akala
yeye chakula.. Ilipofika saa 8 kasoro yule
ndugu akapiga ikapiga cm akasema...
Kwa mfano ikitokea leo hii mkuu akituambia tupige kura ya nani mchangiaji mwenye point na maana
namaanisha unaedhani anachangia vizuri kwenye JF Wewe utawataja nani na nai/ hebu taja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.