Salaam cc wote. Leo tuna tamasha la uimbaji jimbo letu la magharibi. Kama upo hapa tusalimiane. Bishanga ndiye mgeni rasmi.
Salaam cc wote. Leo tuna tamasha la uimbaji jimbo letu la magharibi. Kama upo hapa tusalimiane. Bishanga ndiye mgeni rasmi.
watoto nguvu vipi...?kuna watoto wa nguvu huko?
hajui au wameusahau usemi wa malikia wa tz "mtoto wa mwenzio, ni mwanao"Waharibifu hawakosekani.
kuna watoto wa nguvu huko?
kuna watoto wa nguvu huko?
waoh..................niko baruti-bahama mama nakuja................!!unaenda kusikiliza uimbaji..au kuona watoto...
njoo mie ntakuwepo
wengine wanaendeaga kanisani kwa sababu hiyo tuebu waache wamwimbie Mungu bana
watoto nguvu vipi...?
waoh..................niko baruti-bahama mama nakuja................!!
:eyeroll1::eyeroll1::eyeroll1:unaenda kusikiliza uimbaji..au kuona watoto...
njoo mie ntakuwepo
basi sawa....sa hivi ndo limepamba Motto...
ukikaribie nipigie nije kukuchukua
Kaizer mambo yako:eyeroll1::eyeroll1::eyeroll1: