Kijana ndio kwanza kaajiriwa kuuza dukani, siku hiyo mwenye duka akiwa kakaa kwenye kiofisi cha ndani akasikia kijana wake akimjibu mteja;
KIJANA: Kwa kweli mama hatuna kabisaa, na...
Habari za asubuhi waungwana!!!
Imekuwa ni kawaida watoto kuibuka na kudai kuwa ni watoto wa Mr. watu8, na bila hiyana wa kinyongo daddy amekuwa akiwakubali...
Aliibuka Passion Lady...
Salaam,
Leo lucchese nikasema ngoja nitoke huku kijijini kwetu Goba nije nishangae ulaya ya bongo kidogo. Aisee niko hapa ila I can feel the sense of not belonging maana watu wa hapa aisee...
Nimejikataza kuuamini msemo huu uliyosheheni midomoni mwa wanajamii .
Nalazimika niamini waanzilishi wa msemo huo wakati wanauanzisha kama hawakua na kilevi vichwani , Basi hawakufikiri vya...
Ilikuwa ni furaha ya ajabu kuwa na mpenzi , honey wangu ,sabuni ya roho
na meneja wangu mkubwa kiwatengu katika kipindi kigumu cha shindano la umiss chit chat
alikuwa msaada mkubwa sana na...
JAMAA: I Love you sweetie.
BINTI: I love you too... ila tupendane tu,
mambo ya ngono sitaki nakutunzia mpaka
utakapokuwa mume wangu.
JAMAA: Hilo si
tatizo, na mimi mambo ya kuniomba pesa...
Nimekuta hii sehemu
Wakiwa mahakamani, binti mrembo alikuwa akiulizwa maswali na mwanasheria kama ifuatavyo:
Mwanasheria: juzi usiku ulilala wapi?
Mrembo: nililala kwa rafiki yangu David...
Kuna chemsha bongo hapa inababaisha watu sana so nimeona niwashirikishe wana jamvi naomba majibu yenu bac!,{Kaka wa mke wa marehem ni mjomba wangu!, je marehem alikua naniangu?}
1. My name has 3 letters. I am known all over the World. Take away 2 letters, I still have the same name. What am I......
2. If your aunt's brother is not your uncle,then what relation is he to...
Customer: I want to buy dog food.
Seller: Do you have a dog?
Customer: Yes
Seller: Where is it?
Customer: At home.
Seller: Sorry, i can't sell you dog food unless i see the dog first, it...
A man got a New Job and a new car, then he decides to go to the village to show his people both the car and the girl he wants to marry, after the visit he and his wife to be left for town, but on...
Nadaiwa:
Matumiz kwa bi mkubwa..
My fiancee..
Kodi ya nyumba..
michango ya kanisani..
Michango ya harusi...
matumizi kwa dogo shule...
BADO:
Mimi sijala, sijavaa, sijakunywa bia...
Nitakoma
Wanachitchat leo ni karibu siku ya tatu sijamuona pacha wangu.
Hivyo kwa heshima na taadhima ninaomba atakayemuona ampeleke kwenye laptop, simu, computer au kwenye tablet yeyote yenye application...
Siku moja mwalimu alikuwa anafundisha hesabu za kirumi
mwal:Hizi ndio namba za kirumi kuanzia 1 hadi 1000 ""mumeelewa""
wan:tumeelewa.
mara punde mwanafunzi mmoja akanyosha kidole...
kwa aliyewahi kufanya anyooshe kidole juuuu
kila mtu anajua afanyalo awapo kitika eneo hili
Wewe huwa unafanyaje
1. Unasafisha kwanza
2. Unapanga tishu
3. Unaenda na gazeti halafu unalitoboa...
Kama umegundua mumeo mlafi ana wanawake wengi na bado ukavumilia kwa kigezo cha ndoa ni uvumilivu ila unakuja kugundua mumeo ni bingwa wa kutoa siri za ndani tena anaziongezea chumvi mwanaume wa...
Hii kesi iko kati ya mwalimu, wanafunzi na mkuu wa shule.. mkali nani?
MWALIMU: Nani alimuuwa Chifu
Mkwawa?
MWANAFUNZI 1; Sio mimi
MWANAFUNZI 2: Jana sikuja shule
MWANAFUNZI 3:Mwalimu kwa...
Walipewa mchongo kuwa kuna mhindi mmoja anaenda bureau de change kubadili mijihela ya kutosha. Jamaa wakamlia timing, wakiwa na noah yao, vipande vya watu kama watatu hivi mitaa ya kariakoo...