nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,690
Nimekuta hii sehemu
Wakiwa mahakamani, binti mrembo alikuwa akiulizwa maswali na mwanasheria kama ifuatavyo:
Mwanasheria: juzi usiku ulilala wapi?
Mrembo: nililala kwa rafiki yangu David
Mwanasheria: na jana ulilala wap?
Mrembo: nililala kwa rafiki yangu John.
Mwanasheria: leo utalala wapi?
Ghafla kabla ya kujibu, Hakimu akaingilia kati.
Hakimu: Objection.... muulize swali lingine, hilo nimeshamuuliza mie.