zoezi lisilojulikana na wengi

zoezi lisilojulikana na wengi

Lovebird

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2012
Posts
6,878
Reaction score
10,515
kwa aliyewahi kufanya anyooshe kidole juuuu
kila mtu anajua afanyalo awapo kitika eneo hili
Wewe huwa unafanyaje
1. Unasafisha kwanza
2. Unapanga tishu
3. Unaenda na gazeti halafu unalitoboa katikati
4. unakwea juuu ka jamaaa
etc
Pedestal-squat-toilet.jpg
 
kwa aliyewahi kufanya anyooshe kidole juuuu
kila mtu anajua afanyalo awapo kitika eneo hili
Wewe huwa unafanyaje
1. Unasafisha kwanza
2. Unapanga tishu
3. Unaenda na gazeti halafu unalitoboa katikati
4. unakwea juuu ka jamaaa
etc
View attachment 120747

Hizo zote nimewahi tumia, ila hiyo ya 4 mara chache sana zaidi ni kwenye vyoo vya umma. Eti unakuta baadhi ya ofisi kuna choo kinachotumika na watu zaidi ya 20 halafu cha kukaa! Usafi wenyewe ni ishu, ahaa napanda juu kama jamaa
 
Hio kwenye picha ndio style yangu ya kila siku...
Inabidi watu wawe wanaelewa choo cha kukaa hakitakiwi kitumiwe kwenye maeneo ya public.
UTI.. Ni ugonjwa hatari sana
 
Hio kwenye picha ndio style yangu ya kila siku...
Inabidi watu wawe wanaelewa choo cha kukaa hakitakiwi kitumiwe kwenye maeneo ya public.
UTI.. Ni ugonjwa hatari sana

kaka upo?
 
Tupo wengi,
hivi vyoo navipinga mwanzo mwisho,
sivikubali kabisa,
yaan mtu ukishusha kimba then unachapwa na maji yenye nyaa matakoni,
aghaaaaaaa!!
 
Hio kwenye picha ndio style yangu ya kila siku...
Inabidi watu wawe wanaelewa choo cha kukaa hakitakiwi kitumiwe kwenye maeneo ya public.
UTI.. Ni ugonjwa hatari sana
Mkuu wangu hiyo kwenye picha ina hatari mbaya mno kwa sababu hayo madude huwa yanapasuka. Hebu fikiria umepanda juu ya hicho choo halafu kinapasuka!!
 
Back
Top Bottom