Madeni yangu mwezi huu..

Madeni yangu mwezi huu..

rafikimkweli

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2013
Posts
349
Reaction score
121
Nadaiwa:

Matumiz kwa bi mkubwa..

My fiancee..

Kodi ya nyumba..

michango ya kanisani..

Michango ya harusi...

matumizi kwa dogo shule...

BADO:

Mimi sijala, sijavaa, sijakunywa bia...

Nitakoma
 
Na utakoma kweli.......

vitu vingine kwenye matumizi yako sio vya umuhim
 
Kweli umeweza kumtanguliza bi mkubwa; barikiwa sana
naamini utapata ukamilishe bili zako na ubakiwe na ziada pia.
 
Kweli umeweza kumtanguliza bi mkubwa; barikiwa sana
naamini utapata ukamilishe bili zako na ubakiwe na ziada pia.

Mlevi (cha'pii) nae abarikiwe ?
Basi hizo baraka hazitakua na ulazima kuzitafuta!
 
Nadaiwa:

Matumiz kwa bi mkubwa..

My fiancee..

Kodi ya nyumba..

michango ya kanisani..

Michango ya harusi...

matumizi kwa dogo shule...

BADO:

Mimi sijala, sijavaa, sijakunywa bia...

Nitakoma

Duh ..... Kumbe tuko wengi eeeh!
 
Nadaiwa:

Matumiz kwa bi mkubwa..100,000

My fiancee..50,000

Kodi ya nyumba..600,000

michango ya kanisani..100,000

Michango ya harusi...200,000

matumizi kwa dogo shule...50,000

BADO:

Mimi sijala, sijavaa, sijakunywa bia...250,000

Nitakoma



Just guessing....hahahah, vipi mkuu uta breakeven kweli?
 
Nakushaur ondoa matumizi yasiokua na ulazma.kama ndofu na michango kwanza.
 
Michango ya harusi ungepunguza. Ila huyo fiancee unamlipa salary ama?
 
Back
Top Bottom