Mr Global
Senior Member
- Nov 9, 2013
- 150
- 125
Siku moja mwalimu alikuwa anafundisha hesabu za kirumi
mwal:Hizi ndio namba za kirumi kuanzia 1 hadi 1000 ""mumeelewa""
wan:tumeelewa.
mara punde mwanafunzi mmoja akanyosha kidole
mwal:enhee,,tatizo lako nini?
mwan:mwalimu nimeelewa, ila mwalimu umesahau kuandika sifuri ya kirumi