Nani anaweza?

Nani anaweza?

Oyono

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2013
Posts
222
Reaction score
35
Kuna chemsha bongo hapa inababaisha watu sana so nimeona niwashirikishe wana jamvi naomba majibu yenu bac!,{Kaka wa mke wa marehem ni mjomba wangu!, je marehem alikua naniangu?}
 
Aisee nikikosa hii utakuwa umenionea. Sasa nachambua sentensi yako

Kuna nafsi nne, kuna wewe, mjomba wako, mdogo wake mjomba wako(mwanamke) na mume wa mdogo wake mjomba wako(marehemu).

Sasa basi mdogo wake mjomba wako(mwanamke) atakuwa aidha mama mkubwa kwako au mama mdogo kutegemeana na mama yako kama ni mkubwa au mdogo wa hao wote(mjomba plus mdogo wake)

Sasa basi mume wa mama yako(aidha mdogo/mkubwa) ambaye ni marehemu kiswahili tunaitaga baba mdogo au tupia Uncle tu.........
 
Aisee nikikosa hii utakuwa umenionea. Sasa nachambua sentensi yako

Kuna nafsi nne, kuna wewe, mjomba wako, mdogo wake mjomba wako(mwanamke) na mume wa mdogo wake mjomba wako(marehemu).

Aksante kwa kujaribu mkuu!!.
 
Ha haa hapo katika familia za waswahili hakuna tawi la familia aina hiyo hivyo huyo ni baba mdogo au mkubwa na si vinginevyo..uncle ni muundo wa familia za kingereza.
 
Ha haa hapo katika familia za waswahili hakuna tawi la familia aina hiyo hivyo huyo ni baba mdogo au mkubwa na si vinginevyo..uncle ni muundo wa familia za kingereza.

Aksante kwa kujaribu mkuu!
 
haya maswali ya kwenye promotion .......
 
Back
Top Bottom