Dawa ya moto , MOTO !

Dawa ya moto , MOTO !

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
10,326
Reaction score
4,789
Nimejikataza kuuamini msemo huu uliyosheheni midomoni mwa wanajamii .

Nalazimika niamini waanzilishi wa msemo huo wakati wanauanzisha kama hawakua na kilevi vichwani , Basi hawakufikiri vya kutosha .
Ni kama walitumia 30% ya uwezo wao .

Mke awe mbogo na mme awe mbogo!
Matokeo yake?
Mwalimu yuko mbogo na mwanafunzi mbogo!
Suluhisho lipo?
Boss amefyum na staff amefyum!
Ufanisi wake?
Baba ako hot na mtoto hot !
Baba V mbogo! Erickb52 mbogo!
Tarajio lake?
What next ?

Mimi nitaendelea kuamini dawa ya moto ni fridge (baridi)
Aidha hapa jamvi incase yupo aaminie "dawa ya moto ni moto!"
Mlango u'wazi anipe ushawishi ambatano vigezo , nione kama naweza badili maono dhidi ya semi hii .
 
Last edited by a moderator:
Ukidumu kua muumini wa semi kama hizi , tija hutoifaulu !
 
Hii misemo sio "Universal". Zinatumika ktk mazingira flani flani tu.

Haziwezi kutumika ktk mazingira yote.
 
an eye for an eye makes the world blind

the same applies there

Life isn't about what happen to us , it's about how we perceive what happens to us ! Na hivyo tuyaonapo yasio na tija nasi tunayatupa kulee!
 
Hii misemo sio "Universal". Zinatumika ktk mazingira flani flani tu.

Haziwezi kutumika ktk mazingira yote.

Una akili sana wewe!
Source : Kahaya flani nimekasahau jina .
 
Life isn't about what happen to us , it's about how we perceive what happens to us ! Na hivyo tuyaonapo yasio na tija nasi tunayatupa kulee!

yeah sio kila msemo ufatwe......ndo maana nikakupa huo msemo

we ukiwa pasua kichwa na mwenzio akawa pasua kichwa what happens next
 
Life isn't about what happen to us , it's about how we perceive what happens to us ! Na hivyo tuyaonapo yasio na tija nasi tunayatupa kulee!


Kwahiyo unataka kusema huo msemo hauna tija??
 
Hebu kakumbuke ukataje ghafla.

Kumbe na mimi nina akili??#

Hebu nijikumbushe!
Kitu kama , kanaitwaga SHABINGA au NGASHABI ama BINGASHA ! Somethin like that!
 
Huo msemo una apply sehemu moja tu nayo ni kwenye 6 kwa 6 bhaasi...
 
Back
Top Bottom