JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Pipoooo.... Yaani sitaki kuamini kama saa nzima imeisha sina hata lepe la usingizi.... Nani yuko majicho akuje pande hizi tupige soga??? Babu Asprin leo hauko lindoni?? Heaven on...
2 Reactions
82 Replies
6K Views
Aliemacho anipe company ntamgawia masongi ya xmass...nshayashusha kama 30 hadi sasa
0 Reactions
15 Replies
1K Views
jamaa mmoja alikuwa anatembea usiku,njia ielekeayo nyumbani kwake imekatiza makaburini,na siku hiyo hakukuwa na mbalamwezi., wakati anapita (anaogopa kwa sababu yuko peke yake)kwa mbele akamuona...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wana wa Bodi . Kwa muda sasa nimekua siridhishwi na niyaonayo hapa mjengoni . Saratani ya "UBINAFSI" na "UMIMI-UMIMI" naiona kila uchao inaendelea kuushambulia mjengo ! . Nikifunguka zaidi...
7 Reactions
102 Replies
6K Views
Hali zenyu bhana!!!!!! Hivi ushawahi kukutana na hii, katika pita pita zangu nimeiona hii. Hebu pitia yako utupe majibu mujarabu hapa........... Top Areas Of Posting JF Chit-Chat: 6,939...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Ninapofikiria kupost chochote kile huku kwenye jukwaa la mahusiano mara nyingi huwa namfikiria Lizy. Nalazimika kuipitia kazi yangu mpaka mara kumi hata iwe ndogo vipi, sababu ya kufanya yote hayo...
0 Reactions
286 Replies
18K Views
Jamani demu wangu kanuna Sijui ni nini........lakini mbona kwenye.simu anaongea vizur na anacheka. Akimaliza saa hyo hyo nikimuongelesha anajibu shortcut au anamute. Nifanyeje aongee na mimi moyo...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
hi
Habari wana chitchat nao mbeni mnipokee
0 Reactions
1 Replies
659 Views
eacher:- what's wrong? Akpos :- our house is very small. Me, my mum,my dad, we sleep on the same bed. Every night my dad asks, 'Akpos r u sleeping?' Then I say No & then he slaps my face...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
:A S tongue:1,Mrembo ana tabia zote nzur ila anakuua mpatapo mali 2,,Kitandan amekaa vzr,bt golikeeper,hafanyi kazi 3,,anachukia ndugu zako,,ila mrembo,kitandan mzur,ajira anayo 4,,Gumba,,bt sifa...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wadau wa JF,kwa muda mrefu nimeshindwa kupata jibu mahsusi la swali langu hili,KATI YA JIJI LA MBEYA NA MANISPAA YA IRINGA,UPI UKO JUU?NA UPI UNAKUA KWA KASI ZAIDI?mchango wenu wadau.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Imebidi nimpe suprise binti yangu. Amejitahidi kwenye mtihani wake wa muhula huu. ................................... Kwa kuwa shule yao imeweka matokeo yao kwenye internet nimeshukuru...
5 Reactions
95 Replies
5K Views
Tumeona Michael jackson alichonga pua,Ronaldinho gaucho amechonga meno,Rooney kaotesha nywele.... Je Diamond atachonga mdomo?
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Shoga 1 alienda club ikapigwa nyimbo ya msondo ngoma.... ya "Wanaume tumeumbwa mateso....mateso!" Shoga kusikia akaguna mmh niliyajua zamani hayo ndo maana nikajitoa huko....
0 Reactions
5 Replies
9K Views
eeeh!? Makubwa mazima mnakaa kutaniana taniana tu!! Shame on you!!!!!!!!!!!!!
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Ni habali za kusikitisha kwani timu ya taifa ya Japani iliregeshwa makwao kutokana na utata ulioletwa na majina ya wana kandanda hao ambayo ni matusi na yanaweza kuleta changamoto na tafakali...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
madam was having trouble with one of her students in 1st Grade class. Madam asked,'VASANT. What is your problem?' VASANT answered, 'I'm too smart for the first-grade. My friend is in the...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
kuchapiwa ni siri ya ndani...? cc kabanga Asprin na wazee wote humu ... Angalizo:ukichapiiwa siri yako usibebe bastola kuumua mchapaji Source : wimbo Wa Rich mavoko moyo wng...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Jamani nauliza yupo wapi Ezekiel Malongo aliyekuwa akitangaza mpira RTD sasa TBC
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Naona niweke thread hii itakayokuwa inajadili mambo yanayohusiana na sisi wachanga Kwanza nianze kwa kuuliza: Hivi Wachaga ni kabila, au ni mkusanyiko wa makabila? Maana makabila mengine mengi...
5 Reactions
192 Replies
20K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…