Umeonesha njia kwa Mabilionea wa Arusha. Pamoja na yote hayo hodi hodi zikome kwa mke wangu Lady doctor mara ooh "naomba maji ya kunywa" hiyo tabia ife na ukachimbe kisima chako ili uyafaidi maji...
Mualiko wa KRISMASI:
Nakualika uje wewe na rafiki yako katika sikukuu ya KRISMASI nyumbani kwetu, Nakutegemea kama Rafiki wa karibu, Panda gari la gongo la mboto shuka gongo la mboto mwisho...
habari humu ndani i wish wote mko poa ni kawaida na ni desturi kwa watanzania kuwa na desturi ya kujumuika katika kipindi cha furaha na shida but nashangaa humu ndani tunashindwa kupeana mialiko...
Habari zenyu wadada na wakaka wa jf chit-chat na viunga vyake wahenga wanasema leo ni leo na msema kesho ni mchawi,namaanisha leo ni siku ya nyama choma vyoda na ndyoff bariidi kwakwenda front...
Kama wewe ni mwizi usijaribu kuwaibia walimu hasa wa shule za msingi. Maana kuna jamaa alikwapua handbag ya mwalimu akakuta ndani kuna kalamu nyekundu, chalk, risiti za bank zinazoonyesha hana...
Habari zenu wadau?
Kwa upande wangu haikua njema kiviile kwani mfukoni nilikua empty mbaya zaid hata mwaliko nkakosa, nkaishia kushinda magetoni tu the whole day.
Enhe hebu tujuzane kwa upande...
Nahitaji kujua jins ya kijiunga na whatsapp, pia jins ya kujirejista na magroup mbalimbali niweze kuchat na watu humu kweny jamii for,bado mgeni sana na vitu hiv nami navipenda. NISAIDIENI
Jamani boxing day ndiyo imepita hivyo naona watu wanatoa mimacho tu,.
Kama hukubahatika kupata zawadi siku ya jana ambayo ulitakiwa kuifungua siku ya leo unaweza kufungua hata mlango,..
Afisa uhamiaji akiandikisha majina ya wamawiya mpakani mwa Mtwara na Mozambique:
Afisa: Karibu Tz, niambie jina lake kamili ili nikuandikishe na kukupa ruhusa ya kuvuka mpaka kuja Tz...
Happy boxing day wakuu,
Japo so far sijareceive zawadi kutoka kwa mutu yeyote ile nimeamua kwenda sawa na kauli mbiu ya raha jipe mwenyewe nakuamua nigongekitu cha Noah (no offense kwa non-users):
Hee! Nimeskia kuna totoparty huko loh! Na wazazi mumo mumo ! Miye nawapeleka my kids kuosha kiwi cha macho! Wakamuone yule madini ya Diamond!! Nimeskia ndo mburudishaji siku hiyo! Mweh! namiye...
Najiulizaga sana hii fashen ya akina dada sikukuu zikikaribia wanakuwa benet sana na mamen yao,sasa huwa wanakuwa na jambo la ziada au cku hy mhimu kwa ajili ya kugegedana 2?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.