Boxing Day!!!

Boxing Day!!!

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,885
Reaction score
29,675
Jamani boxing day ndiyo imepita hivyo naona watu wanatoa mimacho tu,.

Kama hukubahatika kupata zawadi siku ya jana ambayo ulitakiwa kuifungua siku ya leo unaweza kufungua hata mlango,..
 
Dah! haya bhana kama milango tumeanza nayo tangu asubuh mkuu
 
Back
Top Bottom