Tupeane mialiko ndugu wana jf......!!!

Tupeane mialiko ndugu wana jf......!!!

Yusuph Issa

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2013
Posts
528
Reaction score
82
habari humu ndani i wish wote mko poa ni kawaida na ni desturi kwa watanzania kuwa na desturi ya kujumuika katika kipindi cha furaha na shida but nashangaa humu ndani tunashindwa kupeana mialiko wana jf tubadilike jamani!!!!!!!!!
 
Mbona mie nilipata mualiko wa Mnuso wa Xmass

nasubiri wa mwaka mpya kutoka kwako
 
haina noma chakula mboga gani tukuandilie ule na pilau la mdarasini?!
 
Back
Top Bottom