Munkari
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 8,084
- 4,365
Hee! Nimeskia kuna totoparty huko loh! Na wazazi mumo mumo ! Miye nawapeleka my kids kuosha kiwi cha macho! Wakamuone yule madini ya Diamond!! Nimeskia ndo mburudishaji siku hiyo! Mweh! namiye nataka nikamuone laivuu nimshike shati kidogo heheeee! wazazi wenzangu vipi hamuendi? Au mumefulia?? mkuu watu8 hupeleki hao wanao?au hujawanunulia nguo za sikukuu mana walivyo wengi khaa! Mukodi UDA kabisa mana hiyo NOAH yenu haitoshii! Haahaa! Afu nashangaa wakike tu aisee utakula mahari wewe!mweh! Cc Lady doctor ladyfurahia charming Lady Passion Lady nawengineo nishawasahau! Munipitiee ntakuwa hapo mtaa wa MMU! XMASS njema friends!!!
Last edited by a moderator: