Je, umeshaanza kuwashukuru Watu.. kwa mambo waliyoyafanya kwako tokea 01/01/2013? Hebu fikiri Watu Wasikupigie simu, Wasikujibu Msg, Ukipiga wasipokee, je Simu yako itakuwa na thamani? Anza leo kuwashukuru, Mimi ninaanza kwako. Ahsante sana kwa Msg zako nzuri. Nimezipenda!!! Zimenionya, Zimenikumbusha, Zimenifundisha, Zimenifariji, Zimenitia Moyo na kunifanya nipige hatua kwenda mbele. Heri ya Christmas na mwaka mpya.