Jamani ni msaada tu wa kuelimishwa

Sep 14, 2013
5
0
Nahitaji kujua jins ya kijiunga na whatsapp, pia jins ya kujirejista na magroup mbalimbali niweze kuchat na watu humu kweny jamii for,bado mgeni sana na vitu hiv nami navipenda. NISAIDIENI
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom