kama wewe ni usijaribu kumuibia mwalimu

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,059
2,000
[h=5]Kama wewe ni mwizi usijaribu kuwaibia walimu hasa wa shule za msingi. Maana kuna jamaa alikwapua handbag ya mwalimu akakuta ndani kuna kalamu nyekundu, chalk, risiti za bank zinazoonyesha hana pesa ktk ac yake. Majina ya waliowahi namba shule, wanafunzi wanaopiga kelele darasani, majina ya watoto waliokopa ubuyu. Kadi za mchango wa harusi na vipodozi.[/h]
 

theoka

JF-Expert Member
Dec 20, 2013
374
0
acha kudharau kaz ya wenzako na ushke adabu yako kabla Mungu ajakuadhbu hata kama jokes cyo imerenga kumjeruh mtu/tabaka fulan aifai.
 

fadhil genius

Member
Nov 18, 2013
39
0
Ndio kadharau bt kuna ujumbe ndani yake... cz walim ndo chimbuko la kila kiongoz na vingine vingi vinavo tumia elimu... lakini hao ambao n madalaja ya kuwapitisha watu bado maisha yao duni... af eti wanaambiwa kazi yao n wito ili waendelee kuwagandamiza... duuuu
 

theoka

JF-Expert Member
Dec 20, 2013
374
0
mbona walimu wengine matajir?tatizo watu wanakalili waego ndugu zangu walimu wasiwakatishe tamaa ukiwa mjasiliamal mbona unatoka.go for loan look for busnec.
 

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,059
2,000
mbona walimu wengine matajir?tatizo watu wanakalili waego ndugu zangu walimu wasiwakatishe tamaa ukiwa mjasiliamal mbona unatoka.go for loan look for busnec.

Nashangaa wengine wanamind wakat ili ni jukwaa la utani
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom