Mademu na sikukuu.

pingu mkoka

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
434
225
Najiulizaga sana hii fashen ya akina dada sikukuu zikikaribia wanakuwa benet sana na mamen yao,sasa huwa wanakuwa na jambo la ziada au cku hy mhimu kwa ajili ya kugegedana 2?
 
UNDENIABLE

JF-Expert Member
Feb 26, 2013
2,303
1,500
Najiulizaga sana hii fashen ya akina dada sikukuu zikikaribia wanakuwa benet sana na mamen yao,sasa huwa wanakuwa na jambo la ziada au cku hy mhimu kwa ajili ya kugegedana 2?

Wanajua jinsi ya kupata wanachokitaka, its so good kwa kweli
 
ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,692
2,000
Najiulizaga sana hii fashen ya akina dada sikukuu zikikaribia wanakuwa benet sana na mamen yao,sasa huwa wanakuwa na jambo la ziada au cku hy mhimu kwa ajili ya kugegedana 2?
toa mawe wewe sio kulialia tu hapa khaa..
 
Teja Junior

JF-Expert Member
Apr 1, 2013
1,331
2,000
Mwana sikukuu sindo wanajua siku ya kupendeza na kula vinono lazima awekaribu na wewe Jr
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom