Slave
JF-Expert Member
- Dec 6, 2010
- 5,313
- 2,657
Habari zenyu wadada na wakaka wa jf chit-chat na viunga vyake wahenga wanasema leo ni leo na msema kesho ni mchawi,namaanisha leo ni siku ya nyama choma vyoda na ndyoff bariidi kwakwenda front. Baba V inamhusu zaidi . ni ukweli usio panchika kuwa sikukuu za siku hizi ni hakunaga,nakumbuka enzi zetu ndiyo palikuwepo na sikukuu mtu unaanza maandalizi miezi mitatu before, sijui siku hizi sikukuu za zinakimbilia wapi tu, mtu unashinda unakula vizuri na kunywa vizuri sasa sijui siku kama ya leo utakula na kunywa nini kitu ambacho ni kizuri zadi vile unavyovila nakuvinywa.
jamani hiyo ni gia tu yakuombea mwaliko hivyo tualikane jamani.
jamani hiyo ni gia tu yakuombea mwaliko hivyo tualikane jamani.
Last edited by a moderator: