Mmawiya na majina ya ajabu kusini mwa Tz

MgonjwaUkimwi

JF-Expert Member
Mar 10, 2006
1,320
2,000
Afisa uhamiaji akiandikisha majina ya wamawiya mpakani mwa Mtwara na Mozambique:

Afisa: Karibu Tz, niambie jina lake kamili ili nikuandikishe na kukupa ruhusa ya kuvuka mpaka kuja Tz

Mmawiya: Andika Nikutoroke
Afisa: polisi kamata huyu mtu rudisha msumbiji.

Mmawiya: Afande nimesema jina langu ni Andika Nikutoroke

Mmawiya wa pili alipoulizwa jina akasema. "Chichemi, nikichema utanipunga kipungo cha maicha". Afisa: hapana sema tu hufungwi
Mmawiya: Juliachi Kambarage Nyerere Nchonga Raichi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania

Mmawiya wa tatu alipotakiwa kutaja jina lake akasema "Nikichema utachukia na naogopa kupigwa na majechi, chichemi ng'o. Afisa sema, Tz ni nchi ya amani hupigwi kwa kutaja jina lako". Mmawiya: "Pukuza kwanza polichi wachichikie Watanipiga". Afisa: "Sema jina Tafadhali". Mmawiya: haya andika jina langu ni gechi kwanza maisha badaye itatoka gechi ya ushuzi tu chio ya Baharini". Afisa: kamata hii peleka jeshini

Mmawiya wa mwisho alipotakiwa aseme jina lake akasema "Afisa jina langu ndepu hawezi kuniandika, wenjako maputo wamechindwa kuliandika, ndepu chana baba Tapazali". Afisa: hakuna jina ndefu diniani sema. Mmawiya: Tereni
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom