Hebu wasikilize wakenya na kiwahili chao...!
Kwenda huko wacha kujiskia, kwenu mchele moja ilichomeka mukaita Zima moto.
Ati budako ni mnono mpaka mkimpeleka kwa job lazima muende trip...
Some President Advisers sometimes find themselves in very difficult situations.
Take the case of this adviser of Tanzanian President.
President Kikwete told him that he wanted to change the...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo amemteua Bw Brian Jonathan Yared Kithuku kuwa Waziri Mkuu. Mh Rais pia amemteua Bw Kithuku kuwa mbunge masaa machache kabla. Bw Kithuku ataapishwa kwanza kuwa mbunge...
Siku zile za zamani zilipoanza kungia suruali huko kwetu, alitokea jamaa mmoja wa shamba akaenda kushonesha suruali mbili. Siku aliyokwenda kuzichukua, bahati akaikuta moja na moja ilikuwa bado...
Kuna bwana mmoja mkazi wa unguja, ila yupo london, akawaagiza nduguze wamuolee MKE. wakamuolea, jamaa akaenda unguja ili kukutana na MKEWE.
Alipofika airport zanzibar kabla hajafika nyumbani...
Mama: Mwanangu hebu mpigie simu babako mwambie chakula tayari.
Mtoto: Sawa mama.
Mtoto: Mama simpati.
Mama: Basi subiri kama baada ya dakika 5 halafu mpigie tena inawezekana ni mambo ya...
USWAZI noma!!
Mama KIDAWA Ni Mjamzito,
Hawezi Kumpa Mumewe Penzi.
Akamwonea Huruma Kwa KIU Aliyo Nayo.
Akampa elfu 5 Akamwambia Akatulize Kiu Kwa ASHURA.
Jamaa Kufika ASHURA Akamtolea Nje...
Mitaa ya uswahilini utasikia
Miguu kama spoki za baiskeli
Tumbo kama simtenk
Mdomo kama pakacha
Sikio kama upawa Wa supu
Kipara km uwanja Wa ndege
Ndevu kama miguu ya nyuki nk
Tupia Kali zako na wewe
https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=132285&stc=1&d=1389695828
Kwako baba mwenye nyumba hii ya chit-chat Baba V na kamati yako nzima ya mahusiano, kwanza poleni na...
Muhindi mmoja katoka tembelea wakwe zake tanga ambao pia walimpa zawadi ya mbuzi 2 na bata 4 arudi nao mjini. Wakati anarudi na gari yake njiani akasimamishwa na trafiki, wakakagua gari wakakuta...